Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Tukio hili tulitazame mara mbili mbili.
Mkuu nilipumzika kuandika andika JF, lakini umezungumza Point. Nina Imani Vyombo vyetu vitafanya hivyo. Tusilichukulie Poa hata kidogo. Huyo Msomari kaua Askari wawili. Na Mungu tu kawalinda hao wananchi hapo kwenye madala dala. Maana leo ingekuwa kizaa zaa kwa Watanzania.
 
Mkuu nimeona video zake zinazosambaa whatsap nakubaliana na wewe, jamaa kafunga mtaa anazunguka tu na bunduki kama akili zake hazipo sawa, nimeona video jamaa katokea kwa nyuma yake kwenye daladala akamshoot.
Shooting a man from behind is cowardness.
Hakuna namna ilibidi. Ila kuna yule jamaa kampiga risasi zingine wakati akishakata moto.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hujui mbinu za kimedani wewe paka.Kaa kwa kutulia.!!Hebu rejea kule Kitaya masoja wetu walitelekeza kifaru ili kuokoa maisha yao.Ungelipita Jkt ungejifunza kitu kinaitwa 'ujanja wa porini' ( UP).Hivyo kukimbia hatari ni mbinu ya mapigano.
 
Mkuu huoni wangezidi kungojea jamaa angweza kuamua kuua zaidi japo imenigusa. Naamini jamaa ana matatizo ya akili. Tusubiri taarifa zaidi. Iyo ak 47 alipata wapi?
Inasemekana aliwapora askari walikuwa wamekaa kibandani
Nimeskia shuhuda mmoja alikuwa anaelezea
Global TV

Ova
 
Halafu wanapenda Eneo Hilo Sana. Nimekumbuka wale waliolipua Ubalozi Fulani miaka ya 1998
 
Mkuu huoni wangezidi kungojea jamaa angweza kuamua kuua zaidi japo imenigusa. Naamini jamaa ana matatizo ya akili. Tusubiri taarifa zaidi. Iyo ak 47 alipata wapi?
Lakini mkuu mgonjwa wa akili anawezaje kuseti bunguki mpaka kujua kurusha risasi,alafu mgonjwa wa akili akudhuru kabisa raia?,maswali ni mengi sana tusubiri uwenda tukapata taarifa nzuri zaidi.
 
Uzembe walioufanya ni kumuua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…