Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Tukio hili tulitazame mara mbili mbili.
Mkuu nilipumzika kuandika andika JF, lakini umezungumza Point. Nina Imani Vyombo vyetu vitafanya hivyo. Tusilichukulie Poa hata kidogo. Huyo Msomari kaua Askari wawili. Na Mungu tu kawalinda hao wananchi hapo kwenye madala dala. Maana leo ingekuwa kizaa zaa kwa Watanzania.
 
Mkuu nimeona video zake zinazosambaa whatsap nakubaliana na wewe, jamaa kafunga mtaa anazunguka tu na bunduki kama akili zake hazipo sawa, nimeona video jamaa katokea kwa nyuma yake kwenye daladala akamshoot.
Shooting a man from behind is cowardness.
Hakuna namna ilibidi. Ila kuna yule jamaa kampiga risasi zingine wakati akishakata moto.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Si ajabu jamaa wamefunga na mlango kabisa pale salenda ili wananchi wasije kukimbilia ndani, iliwahi kutokea pale Buguruni, jamaa wanamwaga njugu, polisi wakakimbilia ndani ya kituo na kufunga milango, watalaamu walipotokomea, wao ndo wanafungua milango na kujifanya wapi busy kuandaa magari kuwafukuza
Hujui mbinu za kimedani wewe paka.Kaa kwa kutulia.!!Hebu rejea kule Kitaya masoja wetu walitelekeza kifaru ili kuokoa maisha yao.Ungelipita Jkt ungejifunza kitu kinaitwa 'ujanja wa porini' ( UP).Hivyo kukimbia hatari ni mbinu ya mapigano.
 
Mkuu huoni wangezidi kungojea jamaa angweza kuamua kuua zaidi japo imenigusa. Naamini jamaa ana matatizo ya akili. Tusubiri taarifa zaidi. Iyo ak 47 alipata wapi?
Inasemekana aliwapora askari walikuwa wamekaa kibandani
Nimeskia shuhuda mmoja alikuwa anaelezea
Global TV

Ova
 
Serikali yetu ina hamu sana ya kupata magaidi. Yawezekana polisi wetu wamepata mafunzo mengi ya kupambana na magaidi halafu magaidi hawatokei. Hivyo inabidi wapate hata wa kutengenezwa. Akina Mbowe wakiacha kudai katiba, akina Gwajima na akina Jerry eatageuzwa kuwa magaidi.
Halafu wanapenda Eneo Hilo Sana. Nimekumbuka wale waliolipua Ubalozi Fulani miaka ya 1998
 
Mkuu huoni wangezidi kungojea jamaa angweza kuamua kuua zaidi japo imenigusa. Naamini jamaa ana matatizo ya akili. Tusubiri taarifa zaidi. Iyo ak 47 alipata wapi?
Lakini mkuu mgonjwa wa akili anawezaje kuseti bunguki mpaka kujua kurusha risasi,alafu mgonjwa wa akili akudhuru kabisa raia?,maswali ni mengi sana tusubiri uwenda tukapata taarifa nzuri zaidi.
 
Wangemkamata aisee kivyovyote hata kama kwa kumvunja miguu na mikono wangepata infos nyingi sana. Ila ndio hivyo, jnaonekana kabisa alijua atakufa keshajitoa mhanga hata kama ni ujumbe kuutuma keshautuma. Vyombo vya ulinzi na usalama viingie zaidi kazini.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Uzembe walioufanya ni kumuua.
 
ITAKUWA NDIO MADHARA YA CHANJO YA J&J nadhani......!
IMG-20210825-WA0031.jpg
IMG-20210825-WA0035.jpg
IMG-20210825-WA0034.jpg
 
Back
Top Bottom