EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
kwanini asijiue mwenyewe na ana silaha za kutosha??Hii ni clear suicide
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini asijiue mwenyewe na ana silaha za kutosha??Hii ni clear suicide
Huyu hata mtu asiye na mafunzo angepewa bunduki angemuua. Mhalifu gani anatembea huku akifyatua risasi hovyo hovyo tena anajiweka kabisa kuwa target?
Mkuu nilipumzika kuandika andika JF, lakini umezungumza Point. Nina Imani Vyombo vyetu vitafanya hivyo. Tusilichukulie Poa hata kidogo. Huyo Msomari kaua Askari wawili. Na Mungu tu kawalinda hao wananchi hapo kwenye madala dala. Maana leo ingekuwa kizaa zaa kwa Watanzania.Tukio hili tulitazame mara mbili mbili.
Shooting a man from behind is cowardness.Mkuu nimeona video zake zinazosambaa whatsap nakubaliana na wewe, jamaa kafunga mtaa anazunguka tu na bunduki kama akili zake hazipo sawa, nimeona video jamaa katokea kwa nyuma yake kwenye daladala akamshoot.
nani kasema ni jambazi? jambazi anatarget polisi?Nimeona.zote sasa jambazi anatembeaje kama ngongoti?
Hujui mbinu za kimedani wewe paka.Kaa kwa kutulia.!!Hebu rejea kule Kitaya masoja wetu walitelekeza kifaru ili kuokoa maisha yao.Ungelipita Jkt ungejifunza kitu kinaitwa 'ujanja wa porini' ( UP).Hivyo kukimbia hatari ni mbinu ya mapigano.Si ajabu jamaa wamefunga na mlango kabisa pale salenda ili wananchi wasije kukimbilia ndani, iliwahi kutokea pale Buguruni, jamaa wanamwaga njugu, polisi wakakimbilia ndani ya kituo na kufunga milango, watalaamu walipotokomea, wao ndo wanafungua milango na kujifanya wapi busy kuandaa magari kuwafukuza
Inasemekana aliwapora askari walikuwa wamekaa kibandaniMkuu huoni wangezidi kungojea jamaa angweza kuamua kuua zaidi japo imenigusa. Naamini jamaa ana matatizo ya akili. Tusubiri taarifa zaidi. Iyo ak 47 alipata wapi?
Upande wa pili wa kanisa la st peter kama unaenda masaki au ukivuka mataa ya mbuyuni kama unatokea mwenge kwenda posta sasa nyuma ya filling station ya total hilo lote eneo lao hadi jirani na dar free marketHivi hizo ofisi zipo wapi?
Halafu wanapenda Eneo Hilo Sana. Nimekumbuka wale waliolipua Ubalozi Fulani miaka ya 1998Serikali yetu ina hamu sana ya kupata magaidi. Yawezekana polisi wetu wamepata mafunzo mengi ya kupambana na magaidi halafu magaidi hawatokei. Hivyo inabidi wapate hata wa kutengenezwa. Akina Mbowe wakiacha kudai katiba, akina Gwajima na akina Jerry eatageuzwa kuwa magaidi.
Pamoja na mfyatua risasi mkuu!?Mbaya sana hii taarifa,vyovyote vile ilivyo kua, na alifariki namuombea Rehema kwa Mungu, alie jeruhiwa ajaliwe kupona mapema.
🤣🤣🤣Hao ndio magaidi sasa mliokuwa mkiwalilia
Na ukute kwa usalama wake angeambiwa amtaje MWAMBAWhat if kwa trend jinsi ilivyo, akamtaja mwanasiasa yeyote maarufu!
Sijui aliipata wapi. Tutajua mengi.Mkuu huoni wangezidi kungojea jamaa angweza kuamua kuua zaidi japo imenigusa. Naamini jamaa ana matatizo ya akili. Tusubiri taarifa zaidi. Iyo ak 47 alipata wapi?
Lakini mkuu mgonjwa wa akili anawezaje kuseti bunguki mpaka kujua kurusha risasi,alafu mgonjwa wa akili akudhuru kabisa raia?,maswali ni mengi sana tusubiri uwenda tukapata taarifa nzuri zaidi.Mkuu huoni wangezidi kungojea jamaa angweza kuamua kuua zaidi japo imenigusa. Naamini jamaa ana matatizo ya akili. Tusubiri taarifa zaidi. Iyo ak 47 alipata wapi?
Uzembe walioufanya ni kumuua.Wangemkamata aisee kivyovyote hata kama kwa kumvunja miguu na mikono wangepata infos nyingi sana. Ila ndio hivyo, jnaonekana kabisa alijua atakufa keshajitoa mhanga hata kama ni ujumbe kuutuma keshautuma. Vyombo vya ulinzi na usalama viingie zaidi kazini.
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Ila hawa watu walikua kweli wana sanaa"Aliwazalo mjinga ndio linalomtokea" afande sele mabange 2004
Ukiwa polisi inabidi uwe jasiri tu mkuu na ufanye hivyo,hakutakiwa kufa yule kwa matumizi ya baadaeYou are not serious! Kunamtu huko kasema hofu na mkojo havikai sehemu moja..🤣