Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Duh, hii inafikirisha ila sasa mkuu mbona yeye kauwawa live na hao hao polisi...
 
ukishawahiwa na aliyekuwahi tayari anaziachia huna ujanja hapo ni kuzioga tu...
 
UNAYAONGELEAJE HAYA MAUAJI YA POLISI WETU DADA NINI KIFANYIKE KUZUIA YASITOKEE TENA?
 
Waulize mbona bar nzima walimshindwa jamaa na kibastola pale sinza
 
Hao polisi wana wategemezi na wapendwa wao ambao wamewaacha.

Tuweni na ubinadamu, polisi wanafanya kazi kubwa sana licha ya mapungufu yao madogomadogo.

Tuwaunge mkono na tuwape pole waathirika wote wa tukio hili.

Tuweni na utu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…