Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Polisi walioishiwa mbinu na uongo unazidi ndio madhara yake haya , uliona wapi gaidi anaangalia watu na anawageukia wampige picha vizuri? hakuna cha gaidi wala nini haya ni matokeo ya sinema feki za SIro lile lijamaa ni lipolisi mara nyingi linakaaga pale kona ya Serena minyama uzembe flani hivi, hakuna aliyekufa wala nini sanaa za maonyesho hizi, jiulize sehemu sensitive kama ile na leo Rais alikua oficers mess then atokee eti gaidi ana silaha mbili AKA47 , jiulize kapita wapi hadi kafika pale?

Huko alikotoka hawakumuona? yaani Siro ni failure sana hawezi hata kutengeneza tukio, ndiomaana wanasema inteligence means inteligent sasa hawa zero wetu ati ndio wakutegemea, sahau kabisa, wametoka mupigwa vijembe waachie mahabusu wasio na upelelezi mara paap jamaa anapiga selfie na bundukli mbili eneo hilohilo eti gaidi, jamani, hivi Polisi wanatuonaje watanzania?
Duh, hii inafikirisha ila sasa mkuu mbona yeye kauwawa live na hao hao polisi...
 
ukishawahiwa na aliyekuwahi tayari anaziachia huna ujanja hapo ni kuzioga tu...
 
Msemaji wa Jeshi la Polisi ametoa taarifa mpya kwamba mpaka sasa idadi ya waliouawa ni watu 4 , askari watatu , mmoja ni mlinzi wa kampuni binafsi ya SGA , huku jeshi la polisi likimuua Mshambuliaji na kufanya waliofariki kufikia wanne

Waliojeruhiwa ni watu 6 .
UNAYAONGELEAJE HAYA MAUAJI YA POLISI WETU DADA NINI KIFANYIKE KUZUIA YASITOKEE TENA?
 
Askari wa kwenye keyboard uko vizuri.

Acheni ujuaji wabongo, unamjua mtu aliyepanic alaf ana risasi ziko chamber?

Unakijua chuma wewe? Mtu anazo njugu sio chini 30 alaf amepanic, ushawahi kukutana na hiyo hali???

Hata mafunzo ya mgambo uliwahi pitia ukashika chuma au mtu akashika chuma hata mko mazoezi ya kulenga shabaha tuu??
Acheni ujuaji wazee
Waulize mbona bar nzima walimshindwa jamaa na kibastola pale sinza
 
Hao polisi wana wategemezi na wapendwa wao ambao wamewaacha.

Tuweni na ubinadamu, polisi wanafanya kazi kubwa sana licha ya mapungufu yao madogomadogo.

Tuwaunge mkono na tuwape pole waathirika wote wa tukio hili.

Tuweni na utu.
 
Back
Top Bottom