Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Sio vitu vya kuombea hivyo,
Kama unahitaji Shari za namna iyo hamia uko somalia
 
Inavoonekana Ni kitambulisho Cha mtandaoni Kama vile vya nida.

Ila format yake haiko Kama ya nida.

Tunapaswa tujue Ni taasisi gani inatoa I'd zenye maelezo Kama hayo
Ktk simu yake kutatoa kila kitu kikubwa picha yake imeonekana vizuri
 
Imagine angeamua kumimina kwenye zile gari leo tungezika watu 500
 
Duh hata maana ya intelijensia hujui?!
We pimbi hivi unajua Intelijensia hua inafanya kazi kirahisi kwenye matukio ambayo ni planned!

Hili tukio limetokea ghafla, unafikili ilikua rahisi kujipanga na kufanya chechote!

Hua tunaona raia wanauawa Marekani, unafikiri hawana intelijensia imara?

Matukio ya ghafla udhibiti wake ni mgumu,

Nawapongeza askari wetu, Rest in peace kwa waliofariki.
 
Ndugu yangu ukiona hivyo ujue jamaa ana hasira sana na Askari hivyo anafurahia kudunguliwa kwa hao Askari, Kweli Askari wanatusaidia sana kutulinda lkn shida inakuja pale wanapowaonea raia wanyonge km vile kuwabambikizia kesi,kuwakamata bila kosa maalumu kisha kuwaweka ndani, halafu kutoka hadi walipe pesa ambayo haina risiti Halafu wanagawana wenyewe.Hata Mimi kusema ukweli huwa ninawachukia Sana tena sana hawa Askari wetu.
 

Kukomelea vikorombwezo vya Kiamerika hakukufanyi kuwa muamerika yakhe!

Makunduchi, chatto, Msoga, hata Nanyumbu kote huko Tanzania yakhe.

Tanzania itajengwa na wenye moyo.

Kuwa na amani yakhe!
 
CHADEMA ndio wanataka kutufikusha kwenye vitendo kama hivi, Jeshi la polisi tusimxhekee yeyote ktk suala la amani yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…