Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Wafaransa waache uoga hii migaidi iliamua kuwashambulia kule msumbiji Total kampuni yao ikaondoa wafanyakazi

Sasa hii migaidi imenogewa kuwa mfaransa muoga inaanza kufuata Nchi za nje waliko

Nyie wafaransa komaeni kule Mozambique.


Hawa magaidi wakikuona weak watakuja hata nchini kwako

Tanzania wameshatuona weak na huyu Raisi wetu mama Samia ndio maana wanakuja mchana kweupe bila haya Wala woga

Majeshi please Mama aweza kuwa migaidi inamuona weak nyie komaeni msiachie tu Raisi mkiona afanya maamuzi mabovu Kama aliyofanya kuachia madhehe was uamsho ilitakiwa mumwambie No.Mungemkatalia angewafanya Nini? Hana ubavu wa kuwafanya chochote

Nyie mna nguvu Hadi za kumwambi ripoti kitio fulani Cha polisi na uamiri jeshi wake wote ataripoti mbio akiwa analia machozi Kama mtoto mdogo

Be tough mkiona president ni weak
 
Kabisa. Yule ni kama kajiua mwenyewe
 
Kumbe kuna msafara raia waliusanua ukageuza
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu ni gaidi period.
Polisi wajitafakari sana
Msako uanze haraka sana mpakani Namanga na vitongoji vyake
Mi naona alikuwa na shida na polisi tu, angekuwa gaidi tungekuwa tunaongea habari nyingine sasa hivi, pale kwenye bus alikuwa na uwezo wa kuondoka vichwa vingi sana
 
Hivi huwa mnatafakari kweli kabla ya kufanya jambo lolote?


Yaani teknolojia yote hii unajiingiza kichwa kichwa kwenye jambo usilolijua!!?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Drama inaweza kutengenezwa ili Amiri jeshi atishwe kuwa nchi si salama.
Duh, hizi akili nyingine bana, kwa hiyo drama zinatengenezwa jamaa anatishia anaua polisi na yeye anauliwa!!

Najaribu kuwaza tu🤣🤣🤣

Pale palikuwa hamna drama, jamaa tu fyatu na akili zake, hakuelewa anataka nn, inawezekana hana akili timamu au kapandwa na mashetani yule,

Polisi walitakiwa wamkamate live wajue intention yake nnni haswa!!
 
Kwahiyo huyu wa leo alipewa laki ngapi na mbowe?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…