Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Hilo la msako naungana na wewe imagine Kuna waarabu huwa wanapita wanauza vyombo hata kiingereza hawajui huwa najiuliza hawa watu wanafikaje mitaani kwenye nyumba za watu kwa kazi za kuuza vyombo? Inamaana wameingia nchini kuja kupepeleza mitaa ya watu? Sasa machinga na mtu asiyejua hata kiingereza Wala kiswahili vinaendana? Polisi wajitahidi kuwa walinzi.
 
[emoji120][emoji120]
Your browser is not able to display this video.
 
Acha hizo wewe, vip askari waliofariki wangekuwa wazazi wako, ungesema haya??

Mtu ametoka nyumbani vizuri kwenda kazini yakamkuta ya hivo, wewe uchekelee??

Familia za askari wetu hawa unafikiri saivi zikoje???

Siasa za vyama zisikufikishe huku
 
Unawalaumu bure tu!

Wewe ulitaka polisi wangapi ndiyo wapambane naye?

Hao polisi unaowalaumu walikuwa wanajua kila kitu kuhusu hatari iliyokuwepo? Walikuwa wanajua kuna mtu mmoja tu anayehatarisha usalama na hakuna wengine waliojificha sehemu?

This is so ridiculous.
 
Kwani Lissu hana familia? Azory je? Na Mawazo? Na wale waliopigwa risasi kule Pemba Oktoba 2021? Wote walikuwa na familia zao.
Acha hizo wewe, vip askari waliofariki wangekuwa wazazi wako, ungesema haya??

Mtu ametoka nyumbani vizuri kwenda kazini yakamkuta ya hivo, wewe uchekelee??

Familia za askari wetu hawa unafikiri saivi zikoje???

Siasa za vyama zisikufikishe huku
 
kashapigwa shaba ya kichwa moja tu na sniper, ndiyo maana nitabisha mpaka mwisho kuwa tundu lissu alivamiwa na serikali, haiwezekani kabisa kupoteza shaba sijui 36 nonsense
Sniper! seriously? Wamepiga marisasi mpaka keshakufa tayari wao wanaendelea tu bila kutanabahi.
 
Ungekuta ni ndug yako ndio kapigwa risasi usingeaandiaka hv
 
Huyu ni gaidi period.
Polisi wajitafakari sana
Msako uanze haraka sana mpakani Namanga na vitongoji vyake
Huyu kama ange-attack raia ndo polisi wangekuwa na kazi kubwa zaidi ila wamejipa wenyewe kazi kwa kukosa kwao maarifa namna ya kumkamata akiwa hai ili kesi iwe ndogo.

Kwenye issue za usalama kama hizi zinataka sana maarifa ya kumthibiti mtendaji abaki hai hata kama atapumulia machine ila awe hai ili kupata chain yote na nini chanzo chake.
 
Yule jamaa ambae Serikali inamwita kuwa ni "gaidi" hana uwezo wa kuua Polisi.Lile tukio ni staged event.Limepangwa na muda siyo mrefu Serikali itaanza kujiumbua yenyewe kwa sababu hawajawahi kuwa na akili katika kupanga matukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…