Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Naomba leo iwe mwisho wa trends za Hamza.
Tunaomba walau Rayvanny amfanye tukio kwa Paula ili tuhangaike nao.
 
Asante kwa ufafanuzi
 
Asante kwa ufafanuzi
 
Pole jeshi la polisi pia pole taifa kwa msiba mzito ulio tukuta kama Taifa. Ila Kuna ukweli watanzania wanaitaji kujuwa na ukweli huwo utatuweka huru na kila maneno yanayo endelea kwa sasa.
Sidhani kama itakuwa vyema jeshi la polis liachiwe jambo hili pekeyake pasipo kuunda kamati maalumu yenye watu wenye ujuzi na weledi ktk maswala ya kiusalama na sheria kisha waweke report hiyo adharani.
Mimi nadhani tungeanzia hapo bunge au Rais mwenyewe mmoja wapo aunde tume. Hili swala uwenda likawa na mambo mengi tusio yajuwa. Bado nina amini nchi yetu ipo salama na vyombo vyetu vya ulinzi vipo imara. Asante
 
Mkuu rekebisha ni Selander Bridge
 

mkuu unajua maana ya gaidi lakini?
 
Kesi ya nyani upeleke KWA ngedere
 
Mh! makubwa
 
Mtakuja kutuambia sasa sisi ambao hatuta chanja chanjo ya corona ni magaidi, ngoja muone
 
Hivi una akili kweli wewe! Pale nje hakuna ubalozi wa Ufaransa.
 
Kasome na kujielimisha nini maana ya neno 'gaidi'.
 
Kuna watu mibichwa yao imejaa usaha badala ya ubongo.
 
Polisi warudishe dhahabu za hamza mara moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…