Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
risasi zikatua nchi ya ufaransa
Asante kwa ufafanuziHamza hakuwa ubalozini, na hakuuwawa ubalozini. Hamza alikuwa eneo la wazi lililokuwa karibu na ubalozi wa ufaransa, ni barabarani, mtu yoyote anafika na kupita. Hamza alikuwa na visa binafsi dhidi ya Polisi wa Tanzania, alisikika hivyo na aliwalenga polisi.
Tusilazimishe mambo ya kipuuzi hapa JF.

Mkuu rekebisha ni Selander BridgePole jeshi la polisi pia pole taifa kwa msiba mzito ulio tukuta kama Taifa. Ila Kuna ukweli watanzania wanaitaji kujuwa na ukweli huwo utatuweka huru na kila maneno yanayo endelea kwa sasa.
Sidhani kama itakuwa vyema jeshi la polis liachiwe jambo hili pekeyake pasipo kuunda kamati maalumu yenye watu wenye ujuzi na weledi ktk maswala ya kiusalama na sheria kisha waweke report hiyo adharani.
Mimi nadhani tungeanzia hapo bunge au Rais mwenyewe mmoja wapo aunde tume. Hili swala uwenda likawa na mambo mengi tusio yajuwa. Bado nina amini nchi yetu ipo salama na vyombo vyetu vya ulinzi vipo imara. Asante
Popote duniani Ardhi ulipo ubalozi ni nchi nyingine
Ulipo ubalozi wa ufaransa ni nchi ya ufaransa
Askari waliokuwepo waliouawa walikuwa kwenye ardhi ya nchi ya ufaransa eneo la ubalozi wa ufaransa Tanzania
Hamza ni gaidi sababu alirusha risasi na kuua watu waliokuwa kwenye ardhi ya nchi ya ufaransa polisi watatu na mlinzi mwingine wakiwa nchini ufaransa na risasi zikatua nchi ya ufaransa
Ni gaidi sababu kavamia nchi ingine na kuvurumisha marisasi hivyo ni gaidi
Yule mlinzi aliyeuawa nafikiri alimletea shobo, asingefanya hivyo nadhani asingeuwa kama raia wengine ambao hawajauawa.Kwani kipi hakifahamiki? Polisi walimdhulumu akaamua kuwachakaza kwa risasi!
Kesi ya nyani upeleke KWA ngederePole jeshi la polisi pia pole taifa kwa msiba mzito ulio tukuta kama Taifa. Ila Kuna ukweli watanzania wanaitaji kujuwa na ukweli huwo utatuweka huru na kila maneno yanayo endelea kwa sasa.
Sidhani kama itakuwa vyema jeshi la polis liachiwe jambo hili pekeyake pasipo kuunda kamati maalumu yenye watu wenye ujuzi na weledi ktk maswala ya kiusalama na sheria kisha waweke report hiyo adharani.
Mimi nadhani tungeanzia hapo bunge au Rais mwenyewe mmoja wapo aunde tume. Hili swala uwenda likawa na mambo mengi tusio yajuwa. Bado nina amini nchi yetu ipo salama na vyombo vyetu vya ulinzi vipo imara. Asante
Mh! makubwaPopote duniani Ardhi ulipo ubalozi ni nchi nyingine
Ulipo ubalozi wa ufaransa ni nchi ya ufaransa
Askari waliokuwepo waliouawa walikuwa kwenye ardhi ya nchi ya ufaransa eneo la ubalozi wa ufaransa Tanzania
Hamza ni gaidi sababu alirusha risasi na kuua watu waliokuwa kwenye ardhi ya nchi ya ufaransa polisi watatu na mlinzi mwingine wakiwa nchini ufaransa na risasi zikatua nchi ya ufaransa
Ni gaidi sababu kavamia nchi ingine na kuvurumisha marisasi hivyo ni gaidi
Hivi una akili kweli wewe! Pale nje hakuna ubalozi wa Ufaransa.Popote duniani Ardhi ulipo ubalozi ni nchi nyingine
Ulipo ubalozi wa ufaransa ni nchi ya ufaransa
Askari waliokuwepo waliouawa walikuwa kwenye ardhi ya nchi ya ufaransa eneo la ubalozi wa ufaransa Tanzania
Hamza ni gaidi sababu alirusha risasi na kuua watu waliokuwa kwenye ardhi ya nchi ya ufaransa polisi watatu na mlinzi mwingine wakiwa nchini ufaransa na risasi zikatua nchi ya ufaransa
Ni gaidi sababu kavamia nchi ingine na kuvurumisha marisasi hivyo ni gaidi
Kasome na kujielimisha nini maana ya neno 'gaidi'.Popote duniani Ardhi ulipo ubalozi ni nchi nyingine
Ulipo ubalozi wa ufaransa ni nchi ya ufaransa
Askari waliokuwepo waliouawa walikuwa kwenye ardhi ya nchi ya ufaransa eneo la ubalozi wa ufaransa Tanzania
Hamza ni gaidi sababu alirusha risasi na kuua watu waliokuwa kwenye ardhi ya nchi ya ufaransa polisi watatu na mlinzi mwingine wakiwa nchini ufaransa na risasi zikatua nchi ya ufaransa
Ni gaidi sababu kavamia nchi ingine na kuvurumisha marisasi hivyo ni gaidi
Kuna watu mibichwa yao imejaa usaha badala ya ubongo.Hamza hakuwa ubalozini, na hakuuwawa ubalozini. Hamza alikuwa eneo la wazi lililokuwa karibu na ubalozi wa ufaransa, ni barabarani, mtu yoyote anafika na kupita. Hamza alikuwa na visa binafsi dhidi ya Polisi wa Tanzania, alisikika hivyo na aliwalenga polisi.
Tusilazimishe mambo ya kipuuzi hapa JF.
Polisi warudishe dhahabu za hamza mara moja.Pole jeshi la polisi pia pole taifa kwa msiba mzito ulio tukuta kama Taifa. Ila Kuna ukweli watanzania wanaitaji kujuwa na ukweli huwo utatuweka huru na kila maneno yanayo endelea kwa sasa.
Sidhani kama itakuwa vyema jeshi la polis liachiwe jambo hili pekeyake pasipo kuunda kamati maalumu yenye watu wenye ujuzi na weledi ktk maswala ya kiusalama na sheria kisha waweke report hiyo adharani.
Mimi nadhani tungeanzia hapo bunge au Rais mwenyewe mmoja wapo aunde tume. Hili swala uwenda likawa na mambo mengi tusio yajuwa. Bado nina amini nchi yetu ipo salama na vyombo vyetu vya ulinzi vipo imara. Asante
Sasa,aliwachakaza askari waliomdhulumu,au kaua hovyohovyo?Kwani kipi hakifahamiki? Polisi walimdhulumu akaamua kuwachakaza kwa risasi!