Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Wamekosea kumuua ilitakiwa wahakikishe wanamkamata akiwa hai ili wambane pumbu aseme yote
yes, unaweza kuta nyuma ya pazia kuna tukio linapangwa, yani mtu kama huyo na silaha hadi amefika hapo ukute hata kuna gari imemshusha wakamwambia tangulia sisi tutakuja kumaliza kazi siku nyimgine.
 
Kwa muda aliotumia angetaka kufanya uhalifu angeshafanya. Hawez kupoteza risasi hovyo kwa kupiga piga juu.
Mkuu nimeona video zake zinazosambaa whatsap nakubaliana na wewe, jamaa kafunga mtaa anazunguka tu na bunduki kama akili zake hazipo sawa, nimeona video jamaa katokea kwa nyuma yake kwenye daladala akamshoot.
 
Bangi za mchana hizi!!!! Sasa kuuwa watu ndiyo majibu ya matatizo yako?
 
Mpaka nitakapopata habari kamili lakini huyu jamaa amenishangaza. Mhalifu gani anajiweka kuwa target namna hiyo? Haonyeshi wasiwasi wowote. Huyu nadhani ameuwa kilaini sana bila purukushani. Nadhani nia yake ilikuwa kupigwa risasi afe.
Huyu jamaa siyo mjinga, kuna ujumbe alikuwa anaufikisha. Vyombo vyetu vya usalama vinabidi kwenda extra miles, wasiishie tu kusema tumemuua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…