kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanataka kutuaminisha kwamba MEKO aliweza kudhibiti uhalifu.. ila me naona hii ni DRAMA tu
Trafiki wapewe silaha wanapokuwa barabarani walindane wao kwa wao. Very very sad. Inauma na inasikitisha sana.
Wafuasi wake wanajaribu kuilazimisha sirikali imwachilie masta wao.Jamani si Mbowe yuko gerezani sasa huyo ni nani tena?
Abiria wapo angalia vizuri japo wanaonekana wameinama chiniHili basi/daladala ni jeupe !!?
watu waliingia chini ya viti!!?
ama hawakubeba abiria!!
Dereva wa bajaji nae alisepa wapi!!?
Huyo muharifu ni kilaza sana. Unaenda fanya tukio kwenye magorofa hujui nani yupo juu anakutazamaaKuna ofisi kubwa za usalama wa nchi chini ya km moja lakini watu wanauawa bila response!
Huyu jamaa atakuwa Msomali, na naamini atapigwa risasi na wadunguaji...
Wajinga haoalafu jamaa alishaamua kusimama mwenyewe na machine akaiacha inaning'inia kifuani, wangemchapa tu miguu ili wajue alichokuwa amekusudia.
Here, thank you buddy
Tupia ka video mkuu
Wewe mwenyewe hapo kwenu/kwako kuna vitu haramu vimehifadhiwa na hujui. Unadhani ni rahisi kukagua kila kituLakini bado najiuliza hivi inawezekanaje mtu anaweza kuingiza silaha nzito hizo bila kujulikana? Au kuna kibali kinatolewa kwa Bunduki kama ya huyo jamaa?
ile ni AK 47. askari Police wa Tanzania wakisikiaga mlio wake mara nyingi ukimbia au ujificha! maana wao wanatumia SMG za mchina japo maumbo yanafanana.AK 47 inaenda umbali mrefu na kwakuwa sio nzito so akosagi kiraisiClass ya bunduki aliyokua anatembea nayo nafikiri hakuna raia mwenye clearance ya kua nayo.
So tunabakiwa na mawili. Ama anatokea vyombo vya usalama au gaidi.
siro msimuamini , kabisa hana chembe ya ukweli
Muwe mnaweka akiba ya manenoNi baruti