Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Mpiga risasi kavaa kofia za wale wa Talibani..

Ila hii ni dalili mbaya sana... RISASI MCHANA
 
Class ya bunduki aliyokua anatembea nayo nafikiri hakuna raia mwenye clearance ya kua nayo.

So tunabakiwa na mawili. Ama anatokea vyombo vya usalama au gaidi.
ile ni AK 47. askari Police wa Tanzania wakisikiaga mlio wake mara nyingi ukimbia au ujificha! maana wao wanatumia SMG za mchina japo maumbo yanafanana.AK 47 inaenda umbali mrefu na kwakuwa sio nzito so akosagi kiraisi
 
Mbaya sana hii taarifa,vyovyote vile ilivyo kua, na alifariki namuombea Rehema kwa Mungu, alie jeruhiwa ajaliwe kupona mapema.
 
Back
Top Bottom