FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Isije ikawa katumwa ili kuondoa watu kwenye reli ya kujadili Chanjo na Gwajima ๐๐, halafu wakamwambia hatutakupiga risasi, baadae wakamgeuka ๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamemuuwa!!?Wazee wa kazi wameshammaliza.
Angalia na maeneo ya kuomba kura si kila sehemu ni sahihi. Watu wanataharuki vyema ukaacha uzi huu kwanza ili watu wajadili hili tukio.hahahaaaaaaa haya mkuu samahani sana
Aliyekwambia yule ni gaidi nani boya wewe yaani mnatengeneza sinema feki then muwaaminishe watu kuwa kuna ishu, hakuna ishu pale ni mwendelezo wa sanaa za Siro na kampani yake lijamaa liko kwenye magari ya polisi kila siku kwenye doria leo linajiita gaidi? aibu wangetumia hata mtu mwingine ambaye hafahamiki Dar, Hopeless and shameless police, imevuja hii wala hamdanganyi mtu tena , kuna jambo Mungu anataka awaonyeshe polisi
Ndio wale wale sinema feki, na hao ndio wasomi wao kule geshi ra porishHuu nao ni ugaidi wa uandishi.
Kwanini usitenganishe aya kwenye andiko lako lilete mvuto kiusomaji.
Asante kwa kuelewa, nashukuru kwa uelewa wako pia.haya mkuuu nimekuelewa nimeacha asante kwa kuniambia
kusapiti ndio nini maboya tu nyieNyie ndio mnaosapiti ugaidi hamna pakujificha
imekua kero kama zile Za kule WhatsApp save namba angu nisevu yako,Na wewe ungetafuta sehemu nyingine ya kuombea hizo kura zako.
ohhh, asante, zamani nilijua zipo kule makumbusho upande wa pili wa stendiZiko hapo happo nyuma ya hiyo miti mingi maeneo ya kinondoni
Kibongo bongo unaweza ukaozea jeraHivi kama mimi sio polisi nikawa na pistol yangu hapo nikamlenga nkaua ntashtakiwa.
Kaelewa, nimewasiliana naye mkuu.imekua kero kama zile Za kule WhatsApp save namba angu nisevu yako,
Ukifuatilia hizi video unagundua kwamba vyombo vyetu huwa havipo tayari muda wowote na popote kupambana na matukio yoyote.
View attachment 1907720
Tanzania nchi ya amani lakini wehu wachache hawakosekani popote.... na kuwa tayari kupambana na matukio kama haya ni muhimu sana
Yaani hapa kama vile wamfufue waanze kumchapa upyaaaa
View attachment 1907722
speak of the Devil and he will appear!Wa kina mudi wame anza ya afghastan