Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Isije ikawa katumwa ili kuondoa watu kwenye reli ya kujadili Chanjo na Gwajima ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, halafu wakamwambia hatutakupiga risasi, baadae wakamgeuka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Binafsi nimemuonea huruma huyu mtu. Kwa jinsi alivyokua anaongea ni kama kuna vitu alitaka asikilizwe Since hakua na lengo la kushambulia raia. My nerves tells me that ni mtu wao maybe na wao wanataarifa nae na wameshajilidhisha ndio maana wamempiga risasi ya kichwa.
Kama wasingekua wamejiridhisha wangemjeruhi ili wapate Taarifa zaidi
 
Nyie ndio mnaosapiti ugaidi hamna pakujificha
Aliyekwambia yule ni gaidi nani boya wewe yaani mnatengeneza sinema feki then muwaaminishe watu kuwa kuna ishu, hakuna ishu pale ni mwendelezo wa sanaa za Siro na kampani yake lijamaa liko kwenye magari ya polisi kila siku kwenye doria leo linajiita gaidi? aibu wangetumia hata mtu mwingine ambaye hafahamiki Dar, Hopeless and shameless police, imevuja hii wala hamdanganyi mtu tena , kuna jambo Mungu anataka awaonyeshe polisi
 
Intelijensia ya polisi wetu ni ku deal na upinzani tuu. Huyu mtu amaepata wapi silaha za kivita hadi ndani ya Jiji. ?? Ikisikika Chadema wanaanda mkutano mara paaah, kikosi kiko hapo.
 
Ukifuatilia hizi video unagundua kwamba vyombo vyetu huwa havipo tayari muda wowote na popote kupambana na matukio yoyote.

View attachment 1907720

Tanzania nchi ya amani lakini wehu wachache hawakosekani popote.... na kuwa tayari kupambana na matukio kama haya ni muhimu sana

Yaani hapa kama vile wamfufue waanze kumchapa upyaaaa
View attachment 1907722

Watizee bwana! Bado wanaendelea kumuua.kama vile kuna kufa mara mbili. Mwingine anajaribu kufukia moshi huku moto ukiwaka eti yule kapumzika pale wamsaidie.
 
Back
Top Bottom