Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Pole sana wafiwa. Pole Tanzania. Intelijensia yetu iimarike. Tusitumie nguvu nyingi kukusanya taarifa za vyama vya siasa. Kuna matishio halisi kama haya. Imagine ndio watu kadhaa kama hawa wanavamia ikulu. Itakuwa hatari na aibu.
 
wakuu ndio mjue bongo hakuna kitu, unamkosaje mtu kwenye open space vile ? askari wanajua kupiga chadema tu...wangeambiwa chadema wanaenda pale wangeenda na gari nane hahaha nimecheka leo, hawa askari....
 
Halafu kumbe kaka jambazi alikutwa na bullet proof,ni mwanaume kwakweli
 
Kuna mengi ya kujadili hapa
emoji116.png
View attachment 1907954View attachment 1907955
View attachment 1908068
Familia yake na watu wake wakaribu hadi muda huu wanatakiwa wawe wapo under arrest kwenye comment hapa anasemekana kuishi
Hao watu wake Wana kosa gani??.Labda km kwaajili ya kutaka kujua undani wa Marehemu Gaidi.
Kubwa ndio kujua undani wa marehemu
 
Yule jamaa ambae Serikali inamwita kuwa ni "gaidi" hana uwezo wa kuua Polisi.Lile tukio ni staged event.Limepangwa na muda siyo mrefu Serikali itaanza kujiumbua yenyewe kwa sababu hawajawahi kuwa na akili katika kupanga matukio.
Hii vp nimeikuta humu jf
JamiiForums-461413086.jpg
 
Back
Top Bottom