Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Inakuwaje wanajamvi!

Bwana Yesu asifiwe na awabariki wote hadi mshangae!

Tukio la kuogopesha la kigaidi leo lililopelekea kupotea kwa maisha yasiyokuwa na hatia ni tukio la aina yake.

Nimechunguza ile Coaster Gaidi alisimama kando yake ilikuwa na picha ya Yesu nyuma.

Bwana ndie mchungaji wetu hatutapungukiwa na kitu. View attachment 1908233
Ile ni picha ya mtu alieigiza kwenye filamu inayoelezea maisha ya Yesu. Understand the difference.
 
Nashindwa kuelewa kwanini anaripotiwa kama JAMBAZI. Yule sio JAMBAZI hana qualification za JAMBAZI yule ni MSHAMBULIAJI.

Anyway kwakuwa wakubwa hawapendi kukosolewa watasema ni JAMBAZI aliyeiba kwa kutumia silaha silaha ya Askari.

Alafu sio kila Gaidi ni muislamu kwahiyo kutaja jina la Allah haimfanyi MSHAMBULIAJI kuwa GAIDI. Wapo magaidi wakikristu Ulaya wale wenye jina na mnyama kwenye jina lao.
 
Mzembe sana yule Askari na si uliona alipigwa risasi? Labda he was trying to be a hero kitu ambacho mtu hupaswi kufanya...sijui anaendeleaje maana pale mwishoni wenzake walienda kumsaidia. Tumuombee apone
Yule askari angeenda na bomu la kurisha na mkono, alivyokuwa amesogea vile angeweza kuwin kirahisi sana.

lkn nimechoka baada ya kumwona anatoa ishara kwa wenzake huku amempa adui kisogo..nikasema "ONA HII NANGA"
 
inadaiwa Mbowe aliwarubuni na kuwatumia vijana wafuatao katika matendo ya Kigaidi;
1. HALFANI BWIRE HASSAN
2. ADAM HASSAN KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILAHI LINGWENYA.
Tafakakuri.
kwa nini alikuwa ana target maaskari tu?! aliwalenga kuwauwa maaskari.
We fala, unambiwa polisi walitaka kumudhumu dogo dhahabu, hapo ndipo dogo akawahi!!
 
Mkuu, una uhakika na hayo maneno, au una maana maisha yasiyo na hatia ya huyu "gaidi"?
Ndio sijakataa polisi wengi ni waonevu. Ila katika mazingira ya kazi zao inabidi watii na wafuate amri. Polisi siyo watu baki ama wahamiaji ni ndugu, baba, mama, kaka zetu katika jamii. Ni mfumo ovu wa hiki chama ndo unapelekea uhasama kwenye jamii na siyo polisi tu.

Tuweni na huruma. Yote yatabadilika kama Rais Lissu makamu wake Mwalimu na waziri mkuu FREEMAN AIKAEL MBOWE watakapochukua mamlaka kamili 2025.

We will live in harmony Forever!
 
Inakuwaje wanajamvi!

Bwana Yesu asifiwe na awabariki wote hadi mshangae!

Tukio la kuogopesha la kigaidi leo lililopelekea kupotea kwa maisha yasiyokuwa na hatia ni tukio la aina yake.

Nimechunguza ile Coaster Gaidi alisimama kando yake ilikuwa na picha ya Yesu nyuma.

Bwana ndie mchungaji wetu hatutapungukiwa na kitu. View attachment 1908233

Jamaa shida yake si ilikua mapolisi?? Coaster inaingiaje hapo??
 
Eti tunasema Kagame akituchokoza tutamchakaza. Kumbe maneno tu!! Jamaa anatembea kajiachia na hata alipokuwa katikati ya barabara amesimama kama mti, wale polisi wakawa wanapiga risasi hewani tu!! Kumbe ndio maana wakamuua Aquilina ambaye alikuwa hausiki na tukio kabisa.
bongo hatuna askari

Mtu anatembea anajiachia vile

Uyo ni wa risasi moja tu

aman imetuponza
 
Back
Top Bottom