Huja
JF-Expert Member
- Aug 7, 2021
- 1,167
- 1,848
nimeita kinyaa kwa sababu ya maamuzi yenye kinyaa.
Bila aibu...refa anaamua penati kabisa hata akili ya mtoto mdogo inakataa. Sidhani kama ni hakuona ukweli wa namna beki alivyocheza....refa hakua mbali na tukio... Hata kama refa alisubiria tukio hilo si kwa kwa uwazi ule.
Azam Tv wamewekeza ktk live matches.. tukiamini tunapiga hatua soka lakini maamuzi kama haya hutamani kuangalia baadhi ya mechi ..je energy na muda wa maandalizi yanaaamuliwa kwa style hizi.
Lakini TFF wanafanyaje kwa maamuzi kama haya ni adhabu wanatoa..kumfungia mtu mechibtu.... Lakini kwa nini inajirudia rudia.
Tutegemee nini level ya national team kupiga hatua.
Akili za TFF , ....Hakuna weledi, hakuna maono. Tutabaki tu kuwa watazamaji ktk international stages kwa sababu soccer culture yetu....Nani saratani wa soka la Tanzania.
inatosha au ndo tuendelee na soka letu hivi.....