Hahahahaha hao ni mabingwa wa kihistoria wamewekezaa hela sio hao ambao ni tawi la makoloo
 
Zile kelele zimeisha oooh uto hii ni fire sijui mayele ni kituko ana ana ana. Kwendraaaahh nyie ni topolo tu
Kwa hiyo Yanga kutoka sare ni big story? Kipi cha ajabu?
 
Tena mchezaji mmoja katangulia mbele ya mpiga penati.
Hapo Refa akili zimemtoka kabisa.
Anacho waza ni Yanga kupata goli Tu basi.
Ili pesa aliyoichukua itimize lengo lake.
Huyu sio Refa kabisa.
Na hatakiwi kuchezesha Ligi ya NBC kabisa.
 
Tena mchezaji mmoja katangulia mbele ya mpiga penati.
Hapo Refa akili zimemtoka kabisa.
Anacho waza ni Yanga kupata goli Tu basi.
Kona filimbi aliipiga Namungo wakishambulia kuashiria ni offside ,alipoona amecheka akacheka
 
Huyu refa afungiwe maisha yake yote!

Hatutaki marefa wasengeki namna hii..
Huyu wa Leo ni wa kuchunguzwa vizuri ili kama amepewa hela,Takukuru watimize wajibu wao.Hili tukio la Leo ni aibu Kwa mpira wa Tanzania.Hata Yanga ya mwaka huu Kwa jinsi ilivyosajili na Kwa jinsi inavyocheza,sidhani kama inamhitaji refa kama wa Leo. Yanga ya mwaka huu inatosha Sana haihitaji kubebwa na marefa uchwara hao.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Huyu refa huenda akafungiwa kuchezesha ligi kuu kwa muda fulani. Tukiweka pembeni ushabiki na utani wa jadi wa Simba na Yanga, ukweli ni kwamba refa ameteleza leo kwenye maamuzi yake.
 
Huyu refa huenda akafungiwa kuchezesha ligi kuu kwa muda fulani. Tukiweka pembeni ushabiki na utani wa jadi wa Simba na Yanga, ukweli ni kwamba refa ameteleza leo kwenye maamuzi yake.
Hivi huyu refa ni nani?Tumjue ili siku nyingine tuwe makini nae
Hatufai Kwa mstakabali wa soka letu. Hatufai

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…