SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Pesa za GSM zinatuharibia ligi yetuPenati haijapigwa baadhi ya wachezaji na refa wapo ndani ya 18.
Hii ni aibu kubwa mno kutokea , tunajua refa kapewa bahasha lakini si kwa aibu hii.View attachment 2017823
Shida inaweza isiwe kwamba Fei kafanyiwa faulu au vipi, sema umeona mpangilio wa wachezaji kwenye eneo la penati kabla ya Saido kupiga ile penati?Acheni kelele na unafiki wenu. Hamkuona Feisal kaangushwa kwa kuchwzewa rafu.
Mmezoea kubebwa sasa mnadhani wofe wanabebwa. Nonsense
Sawa basi mumpe chake leo leo maana amefanya ujasiri Wakubwa wasiaibike.Acheni kelele na unafiki wenu. Hamkuona Feisal kaangushwa kwa kuchwzewa rafu.
Mmezoea kubebwa sasa mnadhani wofe wanabebwa. Nonsense
kwani inawauma?Washabiki wa Yanga wasiposema ukweli nitaona Kweli Tanzania kuna shida kwenye vichwa vya watu. Inatia kichefuchefu kwa wapenzi wa mpira unaenda kuangalia match ambayo ni rigged. Hii ni match fixation tff wachunguze na Takukuru wanuse kuna harufu ya rushwa
Na eti na wao wanataka kwenda Qtavi 2022 nchi yangu kwa vituko tumoInauma sana, inatia kinyaa. TFF mnaua football ya Tanzania.
We are not talking about number here. Ondoa UTOPOLO Wako.NUMBERS NEVER LIE
HESABU HAZIONGOPI
1.biashara vs Simba
Simba walipewa penati
2.Dodoma vs Simba ,
Dodoma red card
3.simba vs polisi ,
Simba walipewa penati na polisi red card
4. Simba vs coast , coastl red kadi mapema Sana
5. Simba vs Namungo
Namungo red card
6.Ruvu vs Simba,
Ruvu red card+Penalty
Hawa Simba wamebebwa mechi zote 6
HIYO[emoji115] HOJA NAYO SIJUI TUIJADILI AU TUACHANE NAYO!?
๐๐ Wana mwiko wao upo nyuma huo wakikuzabua nao lzm ukazindukie HospitalDaima kununua marefa
Huna jipya we ndo kinyaa na huujui mpira kalale uote ndoto za alinachanimeita kinyaa kwa sababu ya maamuzi yenye kinyaa..
Bila aibu...refa anaamua penati kabisa hata akili ya mtoto mdogo inakataa..
Sidhani kama ni hakuona ukweli wa namna beki alivyocheza....refa hakua mbali na tukio... Hata kama refa alisubiria tukio hilo si kwa kwa uwazi ule...
Azam Tv wamewekeza ktk live matches.. tukiamini tunapiga hatua soka lakini maamuzi kama haya hutamani kuangalia baadhi ya mechi ..je energy na muda wa maandalizi yanaaamuliwa kwa style hizi..
Lakini TFF wanafanyaje kwa maamuzi kama haya..
Ni adhabu wanatoa..kumfungia mtu mechibtu.... Lakini kwa nini inajirudia rudia.
Tutegemee nini level ya national team kupiga hatua.....
Akili za TFF , ....Hakuna weledi, hakuna maono...
Tutabaki tu kuwa watazamaji ktk international stages kwa sababu soccer culture yetu....Nani saratani wa soka la tz..
inatosha au ndo tuendelee na soka letu hivi.....
GENTAMYCINE unaumia ukiwa wapi?Nayasubiri majibu yenu Ndugu zanguni.
Ujinga Kama huu wa kishabiki maandazi ndio unatufanya mpaka leo tuwe wa hapa hapa.makolo mliwahi kuomba eti lefa atoke nje ya nchi