Jinsi alivokuwa anaongea nikawa nacheka Mana hata hajielewi anachoongea
 
Hamjawahi kubebwa? Waamuzi wetu wanashida huyu wa leo sio wa kwanza!
Kuna mchezaji anaweza kukudanganya refa ukakubali mfano Morison kwa sabsbu ya akili kubwa sasa Fei hata kudanganya hajui anakosa balance mpira unachukuliwa kisha sekunde kadhaa anaanguka ,tafsiri sahihi aliambiwa aanguke tu atapewa penalt
 
Kelele na matusi ya nini?
 
Jamaa yameumia sana. Yameshasahau mambo yao. Hahahahah wasubiri dec 11
 
Mnateseka na penalty ya jana wakati nyie penalty zenu kibao tu za magumanishi.Mkiambiwa tuungane kukemea hili mnasema KILA MTU ASHINDE ZAKE.Tulieni sasa 🤣🤣🤣
Tumetulia ndio maana point zimepungua mbili.
 
Sio kupewa zilikuwa ni Halali haswaa... Na hata mkatujeruhia wachezaji wetu kisa mihela ya tajiri...

Nawaambieni ubingwa mtausikia kwenye friji

Sasa tuseme hiyo ya jana ni HALALI au HARAMU? Fikiri kwanza sio unaongea utopolo
 
Acheni kelele na unafiki wenu. Hamkuona Feisal kaangushwa kwa kuchwzewa rafu.

Mmezoea kubebwa sasa mnadhani wofe wanabebwa. Nonsense
Wapumbavu Sana ,wengine hawajaangalia mpira wanaongea kwa kusikia hearsay,yule mchezaji wa Namungo alitumia nguvu nyingi,kapiga mpira na mguu.Kumbuka wachezaji wa Namungo walikuwa wawili na mpira alikuwa nao Fei.Nguvu ilikuwa excessive .
 
Wapumbavu Sana ,wengine hawajaangalia mpira wanaongea kwa kusikia hearsay,yule mchezaji wa Namungo alitumia nguvu nyingi,kapiga mpira na mguu.Kumbuka wachezaji wa Namungo walikuwa wawili na mpira alikuwa nao Fei.Nguvu ilikuwa excessive .
Kuna yale machambuzi pale azam yale ni makolo kabisa ndo yamewalisha watu matango pori.
 
Kuna yale machambuzi pale azam yale ni makolo kabisa ndo yamewalisha watu matango

Sasa usimind ndugu kipigo Tareh 11 kipo palepale hivyo Christmas mtakuwa mshatolewa
 
Huu ndio ushabiki mandazi sasa[emoji1318][emoji1318] yaani watu wanajadili la maana yeye kama umbile XX anakazana kulinganisha na jambo ambalo asemi ni nani ni wapi na tukio gani ni mechi gani lkn anaona alichofanya refa katika mechi ya yanga na kwakuwa yanga baasi ni sawa.
Mpuuuuuuuzi kabisa.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…