Kuna yale machambuzi pale azam yale ni makolo kabisa ndo yamewalisha watu matango pori.
Hasa kale ka Mr Silim kale ka Ally Kamwe.Halafu wanashindwa pia kuelewa filimbi ilipolia Saido akaenda kupiga ndipo wachezaji wengine waliondoka naye na Saido hakupiga moja kwa moja ,alitisha kidogo ndo akapiga.
 
Ukiacha usimba na uyanga,ile penati haiwezi kuhalalishwa Kwa sababu zozote zile.Namna ilivyopatikana na jinsi ilivyopigwa ni uhuni mtupu.kwa mtindo huu,Itabidi TFF iwe na marefa maalum Kwa ajili ya mechi zinazohusisha Simba na Yanga.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwa povu hili ni wazi mikia hamna ubingwa msimu huu...kilichobaki ni kupiga kampeni dhidi ya wananchi na wadau wao
 
Wanachama wa yanga kipindi wanalalamika kwamba tff na Simba wanapanga matokeo watu walikataa....mwaka Jana tu palepale namungo stadium walikataliwa yanga goli ambalo Simba wqlifungwa na kaiza chif kule kwa madiba.....wakasetiwa suluhu nyingi,yanga wakatamka wazi kuwa wangejitoa ligi hapo marefa wakaanza kuwa fea sema watu munajisahau Ila ukweli ligi inaharibiwa na tff kupanga Nani mwaka huu awe bingwa kwhy vumilieni dawa iwaingie
 
Mimi mpaka nilizima TV kwanza penalty ipigwe ndo niwashe kwa kweli ni kinyaa.

Kwenda kuwasha nikaangalia marudio nayo kero tu yaani kabla penalty haijapigwa wachezaji wamejaa kwenye penalty box na mwamzi yupo tu!

Nilipatwa na hasira nikazima moja kwa moja.
 
Wapumbavu Sana ,wengine hawajaangalia mpira wanaongea kwa kusikia hearsay,yule mchezaji wa Namungo alitumia nguvu nyingi,kapiga mpira na mguu.Kumbuka wachezaji wa Namungo walikuwa wawili na mpira alikuwa nao Fei.Nguvu ilikuwa excessive .

Unaita wenzio Wapumbavu wakati unachoandika ndiyo pure upumbavu wenyewe.
 
Hasa kale ka Mr Silim kale ka Ally Kamwe.Halafu wanashindwa pia kuelewa filimbi ilipolia Saido akaenda kupiga ndipo wachezaji wengine waliondoka naye na Saido hakupiga moja kwa moja ,alitisha kidogo ndo akapiga.

Wewe jamaa leo umevurugwa,kutoa kwako povu hakusaidii,ukweli lazima usemwe,Jana mmefanya uhuni wa kishamba na kitoto sana.Hii haiwapi ahueni ya ubovu wa team yenu,ni swala la muda tu,maji na mafuta yatajitenga.
 
Eti huyu refa nae anategemea siku moja akachezeshe international matches...
 
Acheni kelele na unafiki wenu. Hamkuona Feisal kaangushwa kwa kuchwzewa rafu.

Mmezoea kubebwa sasa mnadhani wofe wanabebwa. Nonsense

Acha utahira wewe!
Haya tufanye Faisal aliangushwa kweli!
Je upigaji penalt ndiyo unavyokuwa hivi??
 

Tufanye hiyo penalt ni halali! Je upigaji wa penalt huku wachezaji wa utopolo wakiwa washaingia ndani ya 18 ni sahihi?
Sheria no14 katika sheria 17 za FIFA inaeleza wazi upigaji penalt unavyotakiwa kufanyika!
Je kwa namna refa alivyofanya ni sahihi?
Wewe unamuona mleta maada ni mpuuzi lakini wewe unaweza kuwa ni kilaza na zwazwa kabisa...
 

Hizo scenario zilizotekea kwa upande wa simba zinafanana na ya utopolo dhidi ya Namungo?
Hayo matukio yaliyotokea kwenye mechi za simba yalikuwa na ukakasi gani? Kama kulikuwa na ukakasi wa kweli mbona mlinyamaza....
 
kwa hiyo kama Simba alipewa penati,so what!! usikute huyu fala ni mwamuzi
 
Kale ndimu.[emoji23]
 
Ukiwa huelewi jambo kaa kimya utaonekana una busara kidogo, mpira ungekuwa unachezwa bafuni kwenu tungejaribu kukusikiliza, nikukumbushe tuu, ukitaka uchambue kitu na ueleweke andika uhalisia, ushabiki maandazi weka kando watu watakuelewa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…