Kinyozi wa kike apandisha mashetani na kuzimia baada ya kugusa kichwa cha askofu Gwajima, aombewa na kuzinduka!

Planed
 
Gwajima aache tabia ya kwenda saluni za kike kufanywa massage anatia aibu!
 
Bwashee kweli pumzi imekata,cjui kwann nmemkumbuka sana bi. Kirembwe
 
dizaini ya watu chama kinachojifia Ccm inaowapenda waongo waongo wazinzi waasherati na mafisadi
 
Hamna lolote lile ni movie tu la kutengeneza baada ya kuona maji mu shingo!!
 
Hivi huyu huuu usaniii aliusomea au anatumia madawa kupofisha watu akiri?hivi hilo igizo alilifanya Kwa wary wazima Au Kwa watoto? Na hao aliokuwa akiwasimlia ni watoto Au ni watu wazima?
 
Kwa hiyo aliingia barbershop anyoe kisha ndio aende ibadani na uzuri huduma ikaanzia hapo hapo ya kukemea pepo!Kweli wajinga ndio waliwao.
 
Lete ushahidi hapa mkuu
Hearsay evidence is not admissible until further corraboretion
 
Hii habari kwa kichwa chako kama andazi, inasaidia nini uchumi wa Tanzania
 
Angerekodi hili tukio ..ingekuwa vizuri..mbona Lile la uchafu alirekodi.
 
Nadhani Halima Mdee aguse kichwa Cha Gwajima kutesti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…