Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Gwajima ni baba wa uwongoAskofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.
Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.
Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.
Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.
Maendeleo hayana vyama!
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.
Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.
Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.
Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.
Maendeleo hayana vyama!
Tunataka barabara si miujiza!Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.
Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.
Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.
Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.
Maendeleo hayana vyama!
Mwambie afute ile clip yake xxxvideo ndio tutajua anakipawa,sio utapeli tu na afya yake kama janjaroAskofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.
Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.
Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.
Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.
Maendeleo hayana vyama!
Gwajimà anasuka sikuizi?Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.
Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.
Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.
Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.
Maendeleo hayana vyama!
Tena waislamu wa Kawe wamamkubali zaidi askofu Gwajima kuliko Mdee Halima!
Hii kauli sikuipendaMi nasubiri nione atakavyogeuza madrassa na miskiti kuwa Sunday School ...
Mwaka huu chadema mmepoteana na wagombea wenu watavuna aibuManabii wa uongo waliongelewa kwenye Biblia ndio hawa!
Yule aligusaga kichwa cha chini si ndo angekufa kabisa!Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.
Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.
Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.
Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.
Maendeleo hayana vyama!
wewe ni mnafiki sanaManabii wa uongo waliongelewa kwenye Biblia ndio hawa!
Hii ilikuwa aina ya kampeni kanisani kwake na sasa inasambaa nje ya kanisa. Wanasiasa uchwara hawana cha kujinadi nacho.Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.
Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.
Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.
Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.
Maendeleo hayana vyama!
Kiki za ki Makonda Makonda. Halafu utakuta mapoyoyo wanaamini huu ujinga asilimia mia.Upumbavu na Kiki za kifala! That is staged 100%