Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

Hiyo hapo.

#MaendeleoHayanaChama View attachment 2143876

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna manzi mmoja ni ticha tulitokea kufahamiana tu ,sasa katika kupiga piga story akanambia anakunywaga hizi pombe kali nikamjibu na mm pia ni mdau

jmoc nikamstua twende viwanja ,tumefika tukaagiza kvant kubwa tukawa tunajipigia kimtindo hadi ikaisha hakuna aliyelewa,bas bana nikaagiza huyu mdudu chupa mbili kila mmoja akapiga yake.

ile tumemaliza nashangaa madam analia tuu kuuliz vipi hajibu anadai kiti kinazunguka,nikamchukua nikamtoa pale hadi lodge kuchakata kumbe stim zimemzidia kazima nikaanza FIRST AID

sitosahau afu (alijikojolea)
 
Kwa nin mnakunywa haya mataputapu?
 
Mwamba huna huruma unaenda kuchakata ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…