JUA ni Kali Sana
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 1,202
- 1,543
Maji baridiiiiKwa kawaida kila mtu anakitu ambacho akinywa kinamfurahisha! Je wewe ni Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!๐ค
AyeeeArusha tunasema 'njota'๐๐พ
Peps ya baridiiNikinywa supu ya uduvi makutupora Monetary doctor
Mirinda nyeusi ikiwa ya baridiiiii!Kwa kawaida kila mtu anakitu ambacho akinywa kinamfurahisha! Je wewe ni Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!๐ค
Avatar yako km yule aliyetolewa mapepo na Yesu yakahamishiwa kwa nguruwe..!! ๐น๐น๐นArusha tunasema 'njota'๐๐พ
Kwel wewe ni mtangaAnjari au Healtho bhana tamu hakuna .
Nasikia Anjari mtu akinywaAnjari au Healtho bhana tamu hakuna .
Eboooooo .....kwa nini wakati peponi kuna mito ya pombe....haya ndiyo matatizo ya kuwa mashekh kuku au mandaziWalevi huu uzi hauwahusu
Punguza makasirikoEboooooo .....kwa nini wakati peponi kuna mito ya pombe....haya ndiyo matatizo ya kuwa mashekh kuku au mandazi
Mgosi lazima usifie soda yenu๐Anjari au Healtho bhana tamu hakuna .