Nyie ni wahuni tu...Kwanini SGR isikamilike wakati wanakusanya kodi ya Railway Development Levy.
Hii kodi inakwenda kufanya kazi gani??
Anastahili adhabu kali mpaka hapo...Kwani si Bado yupo au?
Asante mkuu kwa ufafanuzi Mruwa wa ki greater thinker and expert kwenye hii issueMkuu siyo kwamba kilikuwa jointly owned kati Tanzania na Italy? Nimeikuta hii mtandaoni kuhusu TIPER"
"The plant was commissioned as an oil refinery in the 1960s. It was then known as the Tanzanian and Italian Petroleum Refinary Limited (TIPER), owned jointly by the GoT and Agip (Tanzania) Limited.[6] After the signing of the agreement in 1963, it was built by the Italian state-owned Eni between February 1965 and June 1966 at a cost of TSh 100 million. In 1969, the GoT purchased half of the shares. It was a small refinery with a capacity to process 600,000 tonnes per annum.[5]
Prior to the liberalisation of the petroleum industry in 1997, TIPER produced 30 percent of the local requirements and the rest was imported by the state-owned Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC).[7]
In 1991, under pressure from the International Monetary Fund (IMF), operations ceased at the refinery to implement the country's Structural Adjustment Program. The IMF argued that it was operating at 60% of its capacity."
Tatizo nilionalo mimi ni sera ya Ben ya kubinafsisha kila kiwanda. Enzi hizo Tanzania ilikuwa hainunui lami.
Usiwe mjinga na wewe! Umekazana fedha hatuna kwani hatuwezi kushirikiana na wabia wengine kujenga hiyo refinery yenye uwezo mkubwa?TIPER mpaka inafungwa ilikuwa na uwezo wa kuzalisha mafuta litre laki 5 mpaka 6 kwa mwaka(based on calculation 1 crude barrel ina 80%) ni refinery ndogo sana.
China wana refineries za reja reja wanaziita ‘tea pot’ ambayo serikali yao inataka kuzifunga zinauwezo wa kuzalisha mpaka litre million 2 kwa mwaka.
Tanzania tunatumia litre billion 3.5-4 kwa mwaka za mafuta (nina wasi na hizo figure sidhani kama tumefikia huko). Either Refinery yenye kuweza kuchaka hayo mafuta ni hizi kubwa za kisasa zenye uwezo wa kuchakata 800,000 barrels a day; hiyo ni zaidi ya uwezo wa TIPER mwaka mzima ambayo mpaka inafungwa uwezo wake ilikuwa ni kuchakata 750,000 barrels mwaka mzima.
Refinery yenye kuchakata 800,000 barrels per day gharama yake ni zaidi $25 billion dollars. Hiyo hela hatuna.
Mradi wa $3 billion funding shida, kweli tuongelee $25 billion.Usiwe mjinga na wewe! Umekazana fedha hatuna kwani hatuwezi kushirikiana na wabia wengine kujenga hiyo refinery yenye uwezo mkubwa?
Stupid!
Hiyo ni 1880s nadhani ndiyo SAPs zilianza na hiyo condition ya IMF ilivyowekwa. Mwiny alianza na trade liberalisation vipindi vyake vyote viwili hakubinafsisha kiwanda hata kimoja. Ben alivyoingia tu alianza kuvibinafsisha fasta. Wengine humu ni wahanga wa huo ubinafsishaji tunaonea vitu tulivyo na experience navyo. Hatuongei tu.Tuangalie hizo tarehe za kutekeleza ushauri wa IMF na SAP yao wakati Ben aliingia madarakani 1995. Tusimwonee mtu
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Aisee mno moyo sana kuendelea kuamini kuwa hawa wapigaji wana nia nzuri na nchi.Ni wakati muafaka kwa serikali kufikiria kufufua kiwanda hiki au kutafuta wawekezaji kujenga kiwanda kipya cha kusafisha mafuta.
Na bado..... Walishaharibu huko sasa wanarudi Tanesco! Wameanza kidogo kidogo na kuna siku wananchi watakuja kukumbuka hili shirika.Katika utawala wa Mwalimu Nyerere Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ambacho kilikuwa kinazalisha petroli, dizeli mafuta ya taa, lami nk.
Kwa hiyo nchi ilikuwa ikinunua mafuta ghafi kwa bei nafuu na kuyasafisha kwa gharama nafuu na kufanya bei ya mafuta kuwa nafuu kwa walaji.
Ulipoingia MZIMU wa ubinafsishaji kiwanda kikafa tukaanza kununua mafuta yaliyosafishwa. Hapa ndipo tulipopotea maboya!
Sasa tunakula jeuri yetu kwa kukomolewa kwa bei ghali ya mafuta. Laiti kingekuwepo kiwanda chetu kile tusingeumia kiasi hiki!
Sijui una umri gani? ila Ben Mkapa alibinafsisha vingi vikiwa vimesh
Havikuwa vimekufa completely. Kwa mfano Bora shoes, TBL na Kilombero sugar vilikuwa vimekufa? Viwanda vingine vilikufa baada ya privatisation kuingia. Kwa mfano Urafiki ilikumbwa na matatizo baada ya ubinafsishaji kuingia. Watu binafsi waliruhusiwa kununua pamba hivyo wao wakashindwa kununua hivyo wakakosa mali ghafi. so no production. Urafiki ilikuwa inaajiri wafanyakazi nadhani 5000 kipindi kile. Kuna viwanda vitatu pale- spinning, weaving na finishing ya kutengeneza sasa khanga na vitenge na mashuka. Unaachaje kiwanda kama kile kife!!!! Pia viwanda vingi vilipata shida ya ukosefu wa mali ghafi kwa sababu ya kukosa hela za kigeni. Wakati huo Benki kuu ndiyo ilikuwa inatoa allocation ya forex na kulikuwa na scarcity ya forex. Vilishindwa kununua spares nk nk. Matatizo ni mengi na yalikuwa solvable kama serikali ingekuwa na nia. Viwanda vilikuwa na matatizo mengi na mwenye mali alikuwa hajali. Nikiandika hapa kila kitu nafasi haitoshi. Hii kusema vilikuwa vimekufa ni siasa tu ili kujustify privatisation. Nilifanya kazi kiwandani najua ninachoongea na ni mhanga. Ubadhirifu kweli ulikuwepo lakini siyo ulioua viwanda. bad policy. Kwani privatisation ni kuja kuchukua kiwanda kwa bei chee!!!! Mbona hakuna hata kiwanda kimoja kilichoanzishwa cha maana except cha Dangote!!!!Sijui una umri gani? ila Ben Mkapa alibinafsisha vingi vikiwa vimeshakufa.
Viwanda vingi mkuu havikutakiwa kuinafsishwa. Nakuongezea list- TBL, kiwanda cha sukari, Bora shoes etc. Vipo vingi vilikuwa vinafanya vizuri na changamoto zilitakiwa kutatuliwa siyo kuuza kwa bei chee.Tukubali kwamba kwenye ubinafsishaji hatukutakiwa kubinafsisha kila kitu. Benki ya NBC na TIPER ni mifano ya ubinafsishaji mbovu kabisa wa mali za Watanzania. Ambacho kingefanyika ni kupanua ukubwa wa refinery hio badala ya kuifunga kabisa na kufanya ghala la kutunzia mafuta yaliyochakatwa
Rais alikuwa nani?Wakati wa utawala wa ccm
Ainisha na Bajeti za kufufua ATCL na kujenga Refinery! Kama unategemea mwekezaji basi jua mwekezaji anakuja sehemu ambayo ina miundombinu mizur ya usafiri, social services etcHivi kufufua ATCL na kununua mandege tena kama wanavyo sema wananunua cash na kujenge REFINERY ya uwezo mkubwa hapo lipi LINGEKUWA jambo bora na lenye TIJA KUBWA kwa TAIFA?
Aliyekuambia kuwa mimi ccm ni nani? Au akili yako nyingi ndiyo imekudanganya hivyo?Unawafung Chadema makusudi kisa wewe ccm una mamlaka halafu unasema uendeshaji wa Chadema una shida hivi una akili wewe?
Wewe ndio wale wale,mimi nilikuwa Agip enzi hizo.Wacha porojo mzee wetu, kile kiwanda hakikfungwa kwa sababu kilikuwa hakitoshelezi, bali kilifungwa kwa msukumo wa IMF. Kiwanda kilipojengwa mwaka 1965 kilikuwa kinatosheleza kabisa mahitaji ya nchi ambayo wakati huo ilikuwa na watu kama milioni 14 tu, ila kadri siku zilivyoenda, idadi ya watanzania iliongezeka na mahitaji ya mafuta pia yaliongezeka ndipo TPDC ikaanza kuwa inaagiza mafuta nje. Kilipojengwa mwaka 1963 haikuwa na maana kitakuwa hivyo hivyo bali ilitegemewa kuwa kitakuwa kinapanuliwa kadri mahitaji yanapoongezeka, ila waswahili tukakikalia kama ndiyo kimefikia mwisho, na kuanza kulalamika kuwa hakitoshlezi badala ya kufikiria namna ya kukipanua. Basi wajanja wakatuambia tuuze, nasi tukaingia kichwa kichwa tu kwa vile tulikuwa wavivu wa kufikiri.
Tungejua kuwa tunahitaji kupanua viwanda vyetu kadri mahitaji yanavyoongeza tusingekiuza. Hata Uwanja wa ndege wa DAR tulianza na terminal 1 tu, kufikia katikati ya miaka ya sabini ikawa haioteshelezi tukajenga terminal 2, na hivi majuzi tumeongezea tena terminal 3 ili kukua kuendana na mahitaji. Siyo kwamba kwa vile terminal 1 haitoshelezi basi tuuze tusiwe na uwanja tena.
Utasikia fudenge kanunua TipperNi wakati muafaka kwa serikali kufikiria kufufua kiwanda hiki au kutafuta wawekezaji kujenga kiwanda kipya cha kusafisha mafuta.
Unarudia yale yale; ulikuwa AGIP enzi hizo lini wakati kiwanda kile kilijengwa mwaka 1965 na kikaja kufungwa miaka ya 90 ikiwa ni takriban miaka 30 tangu kijengwe. Sehemu ya mitambo ya kiwanda kile hufanya kazi kwenye joto kubwa hivyo kuna expansion na contraction ya mara kwa mara inayofanya ihitaji uangalizi wa makini sana ambao Tanzania hakuwa na utamaduni huo; neno ukarafati ni la majuzi tu la miaka ya tisini.Wewe ndio wale wale,mimi nilikuwa Agip enzi hizo.
1.Mitambo ya Tipper ilikuwa imechoka wala haitoshelezi mahitaji yetu,World Bank au IMF akagundua it was cheaper to import white product kuliko mafuta kiduchu yaliozalishwa na Tipper. Running cost zilikuwa kubwa mno.Tipper ikageuka liability not asset na matumizi mabaya ya fedha za mikopo yakagunduliwa.
Mataliani walijua fika Tipper ni mzuka wa kufa wakati wowote.Walipoona World Bank au IMF imeikatalia kufadhili wizi wao wakauza hisa zao chapu chapu kwa kampuni ya uswiss wakasepa,na Tipper ikaacha kuzalisha mafuta.
I think everything is possible under the earth. Embu zungumzia wenzetu Zambia wanaoishi kwa kutegemea bomba la TAZAMA lisafirishe crude au naphtha mpaka Zambia ndio waisafishe. Kwann wao hawakufunga kiwanda?. Na wenzetu Uganda wanaotaka kujenga refinery. Mm nadhani hiyo ilikua ni zamani hivyo kunauwezekano TIPPER ingeweza kuongezewa uwezo ili iweze kuzalisha kulingana na population.Mambo mengine ni ya kujifurahisha tu.
TIPER ilikuwa na uwezo wa kuchakata tone laki sita ya mafuta ghafi kwa mwaka.
Ikaongezewa uwezo mpaka tones laki 7.5 ya kuchakata mafuta ghafi kabla ya kuacha uzalishaji.
Tonnes laki 7.5 ya mafuta ghafi kwa mwaka ni sawa litres laki 680 za crude oil. Kwenye crude of barrel kuna litre 153👇na unapata product zifuatazo.
View attachment 2211911
Hizo ni kwa refineries za kisasa ambazo zinaweza chakata mafuta yenye API gravity kubwa. Kwa technology ya TIPER yield percentage is even lower; hata ulaya refiniries zilizokuwa na technology ya miaka ya 1960’s nyingi zishafungwa not only zinauwezo mdogo wa kuchuja crude oil but also very unfriendly to the environment.
Tanzania ya leo inamahitaji ya mafuta takribani litre billion 3.5 mpaka billion 4, TIPER mpaka inafungwa ilikuwa na uwezo wa kuzalisha laki 545-680 litres at maximum (it could be lower given its technology).
That’s is to say kusema TIPER ingekuwa mwarobani wa tatizo la mafuta is simply short sighted uwezo wa TIPER wa kuzalisha na mahitaji ya nchi ni drop in the ocean.
Besides kinachoendelea kwenye soko la mafuta on political side of things it has nothing to do with refineries. Na kujenga refiniries kama bwala la umeme na reli tu mshike mshike wake sio mdogo; kweli tuongelee mambo ya Oil refiniries investment zenye uwezo wa kuchakata mafuta ya Tanzania tu.
Kuna wakati embu tuwe serious on what we can do and what we can’t kwa mapato yetu ya sasa.
Sometimes akili zetu zinatutosha wenyewe; unahitaji TIPER iongeze uwezo wake mara saba ili kuweza kuhudumia mahitaji ya Tanzania. Sasa tunajua gharama ya size hiyo ya refinery kweli au tunajifurahisha.
I think everything is possible under the earth. Embu zungumzia wenzetu Zambia wanaoishi kwa kutegemea bomba la TAZAMA lisafirishe crude au naphtha mpaka Zambia ndio waisafishe. Kwann wao hawakufunga kiwanda?. Na wenzetu Uganda wanaotaka kujenga refinery. Mm nadhani hiyo ilikua ni zamani hivyo kunauwezekano TIPPER ingeweza kuongezewa uwezo ili iweze kuzalisha kulingana na population.
Hiyo ni 1880s nadhani ndiyo SAPs zilianza na hiyo condition ya IMF ilivyowekwa. Mwiny alianza na trade liberalisation vipindi vyake vyote viwili hakubinafsisha kiwanda hata kimoja. Ben alivyoingia tu alianza kuvibinafsisha fasta. Wengine humu ni wahanga wa huo ubinafsishaji tunaonea vitu tulivyo na experience navyo. Hatuongei tu.