Msela Baharia
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 814
- 1,256
Kama zaidi ya 75% ya watanzania ni wakulima (kama inavyosemekana) huoni kua anapigania maslahi ya walio wengi.
Angesema vinginevyo unadhani comments za wakulima zingekuaje?
Wakiongezewa ndo chakula hakitapanda au kitapanda pia?Wanunuaji ndio hao hao watumishi wa umma wanaopigishwa kwata la nyongeza za mishahara kwa miaka minne kavu makato ya bodi ha mkopo kodi n.k
Poleni sana...ila ipo siku utaacha hii dhambi.Kama zaidi ya 75% ya watanzania ni wakulima (kama inavyosemekana) huoni kua anapigania maslahi ya walio wengi.
Angesema vinginevyo unadhani comments za wakulima zingekuaje?
Call me bro...,Mi si dada boss
Avatar tu hiyo mkuuBro gani kubirua jicho vile, usitujaribu tafadhali.
Mkuu, unadhani nchi yote hii ni ya wakulima? Unadhani ni sahihi kiongozi kuhamasisha bei ya sukari ipandishwe juu?Nyie muda wa shamba mlikuwa mnacheza pulltable
Mpambane na hali zenu
Itabidi niichange asee sababu mashambulizi yamekuwa mengi 🤣 🤣🤣🤣🤣😂😂😂hebu weka picha inayoelewek sasa
Anatakiwa anyang'anywe madaraka haraka sana. Yeye anakula bure chochote atakacho ila ana jeuri ya kutaka wengine wauawe kwa njaa kwa sababu ya kushindwa kununua chakula. Yeye ameshawahi kununua sukari kwa 5000? Kuna jamaa alisema "nchi imekabidhiwa washamba na malimbukeni" . Simkumbuki ni nani ila naamini alikuwa sahihi.
Wanaolima ni wa vijijini mashambani wa mjini hununua na kutumia toka shambaKazi yenu kupotosha sikuiz imekua ya kijinga Sasa magufuli amesema wakipima wasiuze mazao Yao kwa hasara waangalie Bei wewe unakuja kumkosoa ivi unajua wakulima wanavyo nyonywa
Lingekuwa lake angeringa sana.Ila we dada unajicho zuri acha tu yaan[emoji7]
Nani kakwambia kila anayemkosoa anamchukia? Unajua maana ya vyama vingi? Haya tueleze tusicho elewa kwenye hili.Sasa taratibu naanza Kuamini kuwa wengi ya wale wanaomchukia Rais Dkt. Magufuli huwa wanakuwa wanakurupuka katika Kumuelewa asemacho.
Mijitu mijinga Sana Hasa ya chadema ingekua na akili saiz ingechangamkia fulsa hamjui wakulima wanafanya kazi kwa ugum kias Gan Kama huna hela ya kumudu nenda kalime uje uwauzie wenye uwezo Sio mnalia Lia tu
Nani kakwambia najua hata kucheza pool? Nani kakwambia uongo huo wa %75 ya watanzania ni wakulima, ina maana mazao yanauzwa kwa asilimia 25 tu? Nani kakwambia kila mkulima analima vyote na kujikidhi na vyote? Tumia akili acha kujiabisha, wenye akili wanajua ninacho kisema.Zaidi ya asilimia 75 ya watanzania ni wakulima Sasa huoni anawapigania watanzania wengi? Acha kukaa maskani na kucheza pool table ingia shambani ulime halafu uje ufungue Tena nyuzi nyengine
Ni nyie mnao potoshwa na yeye kirahisi, kwa nini aseme watwangeni, unajua maana yake? Rais gani atasema hivyo kwa raia wake? Tumia busara na akili zako mwenyewe.Kazi yenu kupotosha sikuiz imekua ya kijinga Sasa magufuli amesema wakipima wasiuze mazao Yao kwa hasara waangalie Bei wewe unakuja kumkosoa ivi unajua wakulima wanavyo nyonywa
Kwa taarifa yako anaepata faida ni mfanyabiasha mwenye uwezo wa kutunza mazao (kagomba) hata mwaka mzima.Nyie muda wa shamba mlikuwa mnacheza pulltable
Mpambane na hali zenu
Kwa wajinga wote akili yangu ni duni, kwa mafala wote.Akili yako ni duni sana