Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,809
- 6,948
Leo nilikutana na clip moja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Chalamila.
Katika clip hiyo Chalamila anasema moja ya sababu inayosababisha foleni zisiishe ni uwepo wa magari yenye namba A, na mengine ambayo ni machafu na hayana AC (kiyoyozi).
Halafu bado mna matumaini ya kuletewa maendeleo na watu hawa?
Hivi kati ya misafara ya viongozi na magari yasiyo na viyoyozi, kipi ni chanzo kikubwa cha foleni mijini?