G
guest-1793599959
Guest
Ukweli mchungu,
Sijawahi ona mtu anaropoka kama huyuKwa namna ya muundo wa kichwa Chake sidhani kama ni mzima
Wataalam wa afya watatusaidia
Huyu ana downs syndrome kila siku hua tunasema humu huyu jamaa ana downs syndrome ni mgonjwa lakini CCM ndio hua wanapenda watu kama hawa hauihitaji kua na Akili ya kutatua matatizo ukiwa CCMLeo nilikutana na clip moja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Chalamila.
Katika clip hiyo Chalamila anasema moja ya sababu inayosababisha foleni zisiishe ni uwepo wa magari yenye namba A, na mengine ambayo ni machafu na hayana AC (kiyoyozi).
Halafu bado mna matumaini ya kuletewa maendeleo na watu hawa?
Hivi kati ya misafara ya viongozi na magari yasiyo na viyoyozi, kipi ni chanzo kikubwa cha foleni mijini?
Bajaji, daladala,guta,bodaboda zisiingie mjiniHuyu ana downs syndrome kila siku hua tunasema humu huyu jamaa ana downs syndrome ni mgonjwa lakini CCM ndio hua wanapenda watu kama hawa hauihitaji kua na Akili ya kutatua matatizo ukiwa CCM
Huyu fala kila ninapokumbuka saga lake na mama wa kujifungua hospitali ya Temeke bado sielewi hizi nafasi huwa anapewa kwa vigezo gani, all in all hata anayemteua akili zao zinafanana.Leo nilikutana na clip moja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Chalamila.
Katika clip hiyo Chalamila anasema moja ya sababu inayosababisha foleni zisiishe ni uwepo wa magari yenye namba A, na mengine ambayo ni machafu na hayana AC (kiyoyozi).
Halafu bado mna matumaini ya kuletewa maendeleo na watu hawa?
Hivi kati ya misafara ya viongozi na magari yasiyo na viyoyozi, kipi ni chanzo kikubwa cha foleni mijini?
Dah🤣🤣! Nimecheka kama mazuri.Hii combo ya Samia, Mwigulu na Chalamila iko on fire. Kila wakishika mic tegemea lolote kutokea.
Hivi huyu akiwa kwako anasikiliza hoja yake atajiskiajeMkuu wa mkoa anapenda comedy ila inabidi atafute jukwaa na si wakati anazungumzia matatizo serious ya nchi.
On a serious note kuna vyombo vya usafiri vinasababisha foleni.
1.Daladala
2.Bajaj,guta,mikokoteni
3.Malori na magari mabovu.
Wanaokaa maeneo ya Kimara,Mbezi Louis etc wanajua nini kinatokea lori moja likiharibika barabarani. Au bajaj/daladala zinazosimama katikati ya barabara kusubiri abiria
Masikini akipata matako hulia mbwataLeo nilikutana na clip moja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Chalamila.
Katika clip hiyo Chalamila anasema moja ya sababu inayosababisha foleni zisiishe ni uwepo wa magari yenye namba A, na mengine ambayo ni machafu na hayana AC (kiyoyozi).
Halafu bado mna matumaini ya kuletewa maendeleo na watu hawa?
Hivi kati ya misafara ya viongozi na magari yasiyo na viyoyozi, kipi ni chanzo kikubwa cha foleni mijini?
Bajaji yenye AC au pikipiki yenye AC zinapatikana wapi?, tena namba A..Yuko sahihi. Bila kudhibiti vibajaji na pikpk kuingia Mjini hatumalizi foleni
Gari ikiwashwa AC, foleni inapungua vipi?, au plate namba ikiwa E, foleni inapungua vipi?Ukweli mchungu,