😄
Ova
Kwa namna ya muundo wa kichwa Chake sidhani kama ni mzima
Wataalam wa afya watatusaidia
Huyu jamaa anafanya watu wenye vichwa mviringo waonekane wa hovyo
Hii combo ya Samia, Mwigulu na Chalamila iko on fire. Kila wakishika mic tegemea lolote kutokea.
Ni kama vile wanapiga cha ArushaHii combo ya Samia, Mwigulu na Chalamila iko on fire. Kila wakishika mic tegemea lolote kutokea.
Kwa namna ya muundo wa kichwa Chake sidhani kama ni mzima
Wataalam wa afya watatusaidia
Ndio viongozi wetu hao, hata kama wameingia madarakani kwa mauwaji ya watanzania bhasi waoneshe weredi katika kulitumikia taifa. Watu wenye akili na hekima ya uongozi wanaumia sana wanapowaona hawa watu wanaropoka yaliyoyajaa vinywani mwao ambayo hayana tija kwa nchi wala wananchi.Hii combo ya Samia, Mwigulu na Chalamila iko on fire. Kila wakishika mic tegemea lolote kutokea.
Inaumiza sana ila ukija kujua ndiyo wamejazana huko serikalini na katika utumishi wa umma(siyo viongozi tu) ndiyo unagundua safari ni ndefu sana.Ndio viongozi wetu hao, hata kama wameingia madarakani kwa mauwaji ya watanzania bhasi waoneshe weredi katika kulitumikia taifa. Watu wenye akili na hekima ya uongozi wanaumia sana wanapowaona hawa watu wanaropoka yaliyoyajaa vinywani mwao ambayo hayana tija kwa nchi wala wananchi.
Mwenzake au sijui nimuite bosi wake juzi amesema nusu ya Tanzania ni masikini. Leo yeye anasema vigari vyenye namba A visivyo na AC ni kero.na huyo ndiyo yuko responsible kutatua changamoto za mji muhimu kichumi klk yote nchini, low iq fool ...
Huyu nahisi kuna namna wkt anazaliwa medula oblangata ilibinywa kidogo wkt akitoka.Leo nilikutana na clip moja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Chalamila.
Katika clip hiyo Chalamila anasema moja ya sababu inayosababisha foleni zisiishe ni uwepo wa magari yenye namba A, na mengine ambayo ni machafu na hayana AC (kiyoyozi).
Halafu bado mna matumaini ya kuletewa maendeleo na watu hawa?
Hivi kati ya misafara ya viongozi na magari yasiyo na viyoyozi, kipi ni chanzo kikubwa cha foleni mijini?
Yuko sahihi. Bila kudhibiti vibajaji na pikpk kuingia Mjini hatumalizi foleniLeo nilikutana na clip moja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Chalamila.
Katika clip hiyo Chalamila anasema moja ya sababu inayosababisha foleni zisiishe ni uwepo wa magari yenye namba A, na mengine ambayo ni machafu na hayana AC (kiyoyozi).
Halafu bado mna matumaini ya kuletewa maendeleo na watu hawa?
Hivi kati ya misafara ya viongozi na magari yasiyo na viyoyozi, kipi ni chanzo kikubwa cha foleni mijini?
Huyo RC dish limecheza kiasi...hao ndio wanamchonganisha mkuu wao na wananchiLeo nilikutana na clip moja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Chalamila.