Kiongozi anasimama anasema foleni inasababishwa na magari machafu yasiyo na AC

Huyu ana downs syndrome kila siku hua tunasema humu huyu jamaa ana downs syndrome ni mgonjwa lakini CCM ndio hua wanapenda watu kama hawa hauihitaji kua na Akili ya kutatua matatizo ukiwa CCM
 
Kama Kuna mtu huwa anaamini Chalamila ana akili basi yeye nae hana akili. Chalamila ni debe tupu.👎
 
Huyu fala kila ninapokumbuka saga lake na mama wa kujifungua hospitali ya Temeke bado sielewi hizi nafasi huwa anapewa kwa vigezo gani, all in all hata anayemteua akili zao zinafanana.
 
Hivi huyu akiwa kwako anasikiliza hoja yake atajiskiaje
 
Masikini akipata matako hulia mbwata
 
huyu kichwa embe hajawahi kuwa na akili kwahiyo usimchukulie serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…