Siwezi kupoteza muda wangu kwa hilo. Kwa hiyo wanajenga barabara, njia za mwendokasi huku hawajui njia za kutatua foleni. Sasa wamekuwa wanafanya nini ofisini?Sio rahisi hivyo bosi hasa kwa mji ambao ulishajengeka kiholela.
Pendekeza hizo hatua sahihi upate zawadi ya shs 10,000,000. Zawadi hiyo inashindaniwa mwezi huu wa tatu.
Mnaoendesha vigari vitakataka kama vikorola namba A nafikiri mmemsikia vizuri mhe. Chalamila.
DSM tunataka namba E tu, umri wa gari siyo muhimu-iwe gari ya 1980 au 1990 au 2000 mradi ina namba E inaruhusiwa kuja Dar.
Ndiyo huwa najiuliza. Tanzania ukiondoa magari ya kifisadi ya viongozi wa serikali, yaliyobaki asilimia kubwa ya magari yaliyopo barabarani ni ya miaka 10+Namba E haimaanishi ni gari la bei kubwa au ni gari mpya.
Vipaso au vivitz vya 2003 -2013 vyenye namba E vipo.
Kumbe ndio una Low IQ kiasi hiki?Wewe ndiyo mwehu, unaleta mfano usiohusiana kabisa na nilichokufundisha
Choo na magari mabovu wapi na wapi?
Issue hapa ni magari mabovu na ya zamani kuingia katikati ya mji
Huwezi kuruhusu kila mtu kila kitu kifike mjini katikati umewahi kuona wapi Mji wa hovyo hivyo?
Badala watu waweke bidhaa madukani wanapangana barabarani hata kupishana ni vikumbo na mijasho ndiyo mji gani huo!?
Angetembea angejifunza na kuelewa mambo mengiWajinga bado wapo kumbe.
Mfumo wa usafiri wa Dar es Salaam tulishashauri humu suluhu yake ni wajenge trams.
Na kuongeza lanes za barabara , hizi siasa zingine ni upumbavu Chalamila atembee duniani "RETRO CARS" zinauzwa bei ghali sana kwenye minada kuna watu wanapenda kupata ile "nostalgic feeling" ya magari asiwapangie waendeshe kipi.
View: https://youtu.be/W5tQm8HBB2Y?si=1Xz670dRKU4au2vj
Hivyo vibarabara vyenu vya lanes mbili hata hakuna pedestrian path na bado kila kukicha ni kutamba tu tuna rasilimali nyingi hadi mabeberu wanatuonea wivu, sasa hizo rasilimali mbona hatuoni matunda yake?
Naam, sasa mtu kakulia huko vijijini na Dar es Salaam ndio jiji lake la kwanza kubwa kufika na hajatoka tena hawezi kujua trams na metro/subway kwenye majiji yaliyoendelea.Angetembea angejifunza na kuelewa mambo mengi
Ova
kama hujawahi kusafiri nje huezi kumwelewa 🤣 🤣 , btw ndo sababu kubwa kuna magari used afrikaHuyu jamaa anafanya watu wenye vichwa mviringo waonekane wa hovyo
HakikaAngetembea angejifunza na kuelewa mambo mengi
Ova
Huyo rc hajuwi kama supply & demand ina apply kwenyeHakika