Kiongozi kutumia siku 3 kwenye matamasha katika nchi yenye changamoto kibao, tutafika kweli?

Hatufiki. Hakuna kiongozi hapa wananchi wajue hivyo
Hayati JPM (Rip) alikuwa anakwenda sana Chato nyumbani kwao....

Tatizo ni nini ?!!

Kila afanyalo ni la URAIS...

Kila hatua apigayo ni ya URAIS...

Hajawahi kulala huyo...hajawahi kusinzia huyo....muonee huruma ndugu....

Urais kazi NGUMU kwekikweli

#Mwenyezi Mungu ambariki chifu Hangaya ,aaamin aaamin[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nongwa za kijinga kama sio upumbavu
 
Huyo bibi nyie ndio mnamchukulia serious na urais wakati yeye alisema hakutegemea angewahi kufika walau hata umakamu wa rais

Ndoto yake alisema ilikuwa aje kuwa mhudumu ndani ya ndege.

Katiba ibadilishwe na kiwepo kipengele cha kufanya uchaguzi siku 90 baada ya rais akifia ofisini.
 
Kwa yeye ni Mungu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…