Kiongozi kutumia siku 3 kwenye matamasha katika nchi yenye changamoto kibao, tutafika kweli?

Kiongozi kutumia siku 3 kwenye matamasha katika nchi yenye changamoto kibao, tutafika kweli?

Hatufiki. Hakuna kiongozi hapa wananchi wajue hivyo
Hayati JPM (Rip) alikuwa anakwenda sana Chato nyumbani kwao....

Tatizo ni nini ?!!

Kila afanyalo ni la URAIS...

Kila hatua apigayo ni ya URAIS...

Hajawahi kulala huyo...hajawahi kusinzia huyo....muonee huruma ndugu....

Urais kazi NGUMU kwekikweli

#Mwenyezi Mungu ambariki chifu Hangaya ,aaamin aaamin[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi Mkuu wa Nchi ni nyenzo muhimu ya kupeleka maendeleo mbele. Sio tu kiongozi lakini anabeba maono mapana ya nchi. Kiongozi Mkuu wa Nchi anatakiwa kuwa mwenye fikra pevu kuliko wasaidizi wake kwa maana ya kwamba hata akishauriwa anakuwa na uwezo mpana kwa kuchuja ushauri kabla ya kuamua.

Technically, Kiongozi wa aina hii lazima awe na muda wa kukaa kutafakari. Cha kushangaza unakuta Kiongozi Mkuu wa nchi fulani anakaa kuadhimisha matamasha kwa siku zaidi ya tatu kwa nchi yenye changamoto za kutosha. Kwa mwenendo huu safari ni ndefu. Akimaliza hapo ni warsha, kongamano, uzinduzi na ziara.
Nongwa za kijinga kama sio upumbavu
 
Huyo bibi nyie ndio mnamchukulia serious na urais wakati yeye alisema hakutegemea angewahi kufika walau hata umakamu wa rais

Ndoto yake alisema ilikuwa aje kuwa mhudumu ndani ya ndege.

Katiba ibadilishwe na kiwepo kipengele cha kufanya uchaguzi siku 90 baada ya rais akifia ofisini.
 
Akili za ajabu kweli [emoji1787][emoji1787]

Alipokwenda huko Kizimkazi kwani urais wake aliuacha jijini DODOMA ?!!

Rais ni TAASISI....halali huyo...yuko macho 24 hrs....wewe utakwenda kulala yeye toka achaguliwe hajawahi kulala hata dakika 1....

Mh.Rais SSH anafanya kazi ngumu sana kwani mimi urais siutaki....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa yeye ni Mungu ?
 
Back
Top Bottom