Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Ahaaa. Sidhani kama hata la saba ulimaliza.Wewe na watu wenye mtizamo kama wako, hawapaswi kulaumiwa maana tatizo lao ni uelewa na exposure. Kumlaumu mtu ambaye akili yake imefikia kimo cha kufikiri ni kumuonea bure.
Kwa lugha rahisi hiyo ni investment ambayo itazalisha. Kwa lugha rahisi zaidi ni mbegu ambayo itazalisha 1000x. .....
Sasa wewe ushauri wako ni kuwa ni bora tungekula mbegu. Mama alipaswa aongoze watoto kula mbegu ili aonekane anajali. Hahaahahah
Kuongoza nchi yenye watu wengi wenye uelewa wa namna hii, you must be very tricky! Vinginevo unaweza ukajikuta unaweka mbegu mezani kweli.
Nakuunga mkono asilimia zote Hawa ndio wale wa kutafuta doa kwenye chochote kinachofanywa na mtu wanayemchukiaWewe na watu wenye mtizamo kama wako, hawapaswi kulaumiwa maana tatizo lao ni uelewa na exposure. Kumlaumu mtu ambaye akili yake imefikia kimo cha kufikiri ni kumuonea bure.
Kwa lugha rahisi hiyo ni investment ambayo itazalisha. Kwa lugha rahisi zaidi ni mbegu ambayo itazalisha 1000x. .....
Sasa wewe ushauri wako ni kuwa ni bora tungekula mbegu. Mama alipaswa aongoze watoto kula mbegu ili aonekane anajali. Hahaahahah
Kuongoza nchi yenye watu wengi wenye uelewa wa namna hii, you must be very tricky! Vinginevo unaweza ukajikuta unaweka mbegu mezani kweli.
Akili zako ni tofauti na wanadamu wengine.Ilikuwa ni jambo la kutumia kamera za Tbc taifa na kutengeneza filamu ambayo ingewekwa kwenye masoko mtandao ingeuzika na kuenea dunia nzima.
Hayo mabilioni yaliyotumika yangeimarisha huduma za afya huko vijijini maana vituo vya afya na Zahanati nyingi hazina madawa na vifaa tiba.
Hakuna kitu kipya hii filamu iliyogharimu pesa nyingi itabadili kwa sekta ya utalii. Mkuu wa nchi alipaswa kuwa na uchungu na taifa lake na wananchi wake.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito kichwani raia wake!
Angalia Documentary za Tbc Safari zilivotulia ndio uje ulete kelele zakoAcha kukurupuka
Anaekuchukia hakosi jambo na huo ndio ukweli wenyewe,bi mkubwa hatafanya jema wakaliona.Wewe na watu wenye mtizamo kama wako, hawapaswi kulaumiwa maana tatizo lao ni uelewa na exposure. Kumlaumu mtu ambaye akili yake imefikia kimo cha kufikiri ni kumuonea bure.
Kwa lugha rahisi hiyo ni investment ambayo itazalisha. Kwa lugha rahisi zaidi ni mbegu ambayo itazalisha 1000x. .....
Sasa wewe ushauri wako ni kuwa ni bora tungekula mbegu. Mama alipaswa aongoze watoto kula mbegu ili aonekane anajali. Hahaahahah
Kuongoza nchi yenye watu wengi wenye uelewa wa namna hii, you must be very tricky! Vinginevo unaweza ukajikuta unaweka mbegu mezani kweli.
Sidhani kama ulimaliza hata la nneAkili zako ni tofauti na wanadamu wengine.
Anyway ngoja nikuache
Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
Kufanya kazi za maendeleo ni kula mbegu?Wewe na watu wenye mtizamo kama wako, hawapaswi kulaumiwa maana tatizo lao ni uelewa na exposure. Kumlaumu mtu ambaye akili yake imefikia kimo cha kufikiri ni kumuonea bure.
Kwa lugha rahisi hiyo ni investment ambayo itazalisha. Kwa lugha rahisi zaidi ni mbegu ambayo itazalisha 1000x. .....
Sasa wewe ushauri wako ni kuwa ni bora tungekula mbegu. Mama alipaswa aongoze watoto kula mbegu ili aonekane anajali. Hahaahahah
Kuongoza nchi yenye watu wengi wenye uelewa wa namna hii, you must be very tricky! Vinginevo unaweza ukajikuta unaweka mbegu mezani kweli.
Huyu dogo simuelewi kabisa. Elimu yake ni duni kabisa.Kufanya kazi za maendeleo ni kula mbegu?
Hahaha.....!Angalia Documentary za Tbc Safari zilivotulia ndio uje ulete kelele zako
Unajitambua? Umepost nini?Nitoe mfano mmoja tu / muigizaji filamu wa kibongo akipata fursa ya kuigiza na Silvester Stalline ( Rambo) au aigize na wa hapa hapa.
Atapata milege (mafanikio ya kimataifa) na nani?
Mara nyingine unahitaji kugharamia ili utangaze na ufanye biashara.
Mfano tangaza biashara zako wakati wanacheza mpira kwenye Azam Tv Ihefu na Mbeya City au Simba na Yanga !!! Utasikika na kujulikana wapi zaidi???
Na je utangaze Kupitia mechi Ya Liverpool vs Man City.
Mifano mingi sana . Mafanikio ni gharama pia.
Kuutangaza utalii hakuna gharama?..Kama zipo,je ni tatizo!?Kufanya kazi za maendeleo ni kula mbegu?
Mwaka huu lazima uokote makopo,chuki zako kwa Rais Samia zimepitiliza. Sukuma Gang kubalini matokeo tu kutesa kwa zamuIlikuwa ni jambo la kutumia kamera za Tbc taifa na kutengeneza filamu ambayo ingewekwa kwenye masoko mtandao ingeuzika na kuenea dunia nzima.
Hayo mabilioni yaliyotumika yangeimarisha huduma za afya huko vijijini maana vituo vya afya na Zahanati nyingi hazina madawa na vifaa tiba.
Hakuna kitu kipya hii filamu iliyogharimu pesa nyingi itabadili kwa sekta ya utalii. Mkuu wa nchi alipaswa kuwa na uchungu na taifa lake na wananchi wake.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito kichwani raia wake!
Jamaa ana chuki sana, sijui Rais Samia alimkosea nini,Mwaka huu lazima uokote makopo,chuki zako kwa Rais Samia zimepitiliza. Sukuma Gang kubalini matokeo tu kutesa kwa zamu
Awamu hii kukosolewa inaitwa Chuki.Jamaa ana chuki sana, sijui Rais Samia alimkosea nini,