Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #41
Mjinga huna akili.Mwaka huu lazima uokote makopo,chuki zako kwa Rais Samia zimepitiliza. Sukuma Gang kubalini matokeo tu kutesa kwa zamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga huna akili.Mwaka huu lazima uokote makopo,chuki zako kwa Rais Samia zimepitiliza. Sukuma Gang kubalini matokeo tu kutesa kwa zamu
Labda wewe atakuelewa.Mimi nilidhani ungemjibu kwa hoja ingekuwa vizuri zaidi kuliko kujipaisha mwenyewe na kujiona una akili sana. Kuna kitu gani kipya kilichopo kwenye hiyo filamu ambacho kilikuwa hakijulikani kabla? Kwenye Internet kuna documentaries nyingi kabisa tena zenye kuvutia na kutangaza utalii zaidi kuliko hiyo Royal tour. Hakuna anayepinga matangazo ila watu wanahoji njia na gharama zilizotumika: kwa nini hatukuchagua njia nzuri zaidi; na muhimu zaidi, tutangaze vivutio ambavyo havijulikani kuliko kurudia yale yanayojulikana tena kwa njia inferiour zaidi? Ukweli ni kwamba rais alipekeleshwa na watu wasio na weledi wowote bali wanaongozwa na ushabiki maandaazi! Hii inanikumbusha vituko alivyokuwa anafanya Kikwete mara baada ya kuchaguliwa urais mara ya kwanza. Mara sijui anakimbilia kuwaalika Real Madrid waje Bongo, eti wataitangaza nchi , yaani vitu vya kilimbukeni visivyotakiwa kufanywa na rais!
Wewe ni mpumbavuMjinga huna akili.
Alinunua ndege huku anaboresha sekta ya afya.Mbona alinunua ndege kw matrilioni na mpaka sasa zinatengeneza hasara tu.
Labda awe shujaa wa Chato,kaifanyia nini Afrika hadi awe shujaa wa Afrika.Acha kulinganisha UPUUZI na SHUJAA WA AFRIKA.
Kusema kweli ndio kuwa na chuki?Jamaa ana chuki sana, sijui Rais Samia alimkosea nini,
Unaongeza mshahara sh. 53,000 mfuko wa mbolea unaongezeka sh. 90, 000 hiyo ni akili au makamasi...tunaomba pesa iwe na thamani yaani nikienda bureau kubadiri pesa yangu ya madafu kuwa dola nilipie sh. 400 kwa dola moja ya kimarekani! Kuongesha mshahara huku vitu vikipanda bei mara nne ni ujinga!Kiongozi anayejali wananchi wake asingekubali kukaa miaka 6 madarakani bila nyongeza ya mishahara au kupandisha madaraja.
Mfuate Chato aongeze laki 5Unaongeza mshahara sh. 53,000 mfuko wa mbolea unaongezeka sh. 90, 000 hiyo ni akili au makamasi...tunaomba pesa iwe na thamani yaani nikienda bureau kubadiri pesa yangu ya madafu kuwa dola nilipie sh. 400 kwa dola moja ya kimarekani! Kuongesha mshahara huku vitu vikipanda bei mara nne ni ujinga!
Endeleeni kukopa ili muongeze mishahara, posho na marupurupu siku si nyingi mtaumbuka tu!
Ongea kitu kingine siyo wazazi.. Kwa wazazi kwa Dar es salaam kutoka katikati ya barabara mpaka katikati ya sebule ni mita 42... Kwa kijijini kutoka ilipo barabara kuuubwa inayoenda nchi jirani kadhaa mpaka home ni mita 70...Unawaza tu mishahara badala ya kuwaza kutoka kazini kwako hadi kwa wazee wako kunafikika na barabara zenye usalama wa maisha yako? Waliopandisha wenyewe wamekuta angalau tanzania imeungana kutoka mkoa mmoja hadi mwingine. Kila zama na matukio yake na vipaimbele vyake.
Bado unawaza kuongeza mshahara tu! Kama una tanki la maji linalovuja unadhani mbinu ni kuongeza ukubwa wake au kuziba pale panapovuja?Mfuate Chato aongeze laki 5
Hakuna mwenye haki miliki ya mawazo sahihi..Bado unawaza kuongeza mshahara tu! Kama una tanki la maji linalovuja unadhani mbinu ni kuongeza ukubwa wake au kuziba pale panapovuja?
Wewe jamaa unajadili mambo usiyoyaelewa.Ilikuwa ni jambo la kutumia kamera za Tbc taifa na kutengeneza filamu ambayo ingewekwa kwenye masoko mtandao ingeuzika na kuenea dunia nzima.
Hayo mabilioni yaliyotumika yangeimarisha huduma za afya huko vijijini maana vituo vya afya na Zahanati nyingi hazina madawa na vifaa tiba.
Hakuna kitu kipya hii filamu iliyogharimu pesa nyingi itabadili kwa sekta ya utalii. Mkuu wa nchi alipaswa kuwa na uchungu na taifa lake na wananchi wake.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito kichwani raia wake!
Tutajengaje nchi bila wananchi kufunga mikanda bwan🤣🤣🤣🤣Kiongozi anayejali wananchi wake asingekubali kukaa miaka 6 madarakani bila nyongeza ya mishahara au kupandisha madaraja.
Kwakweli.. mlitaka Serikali iwalimie Mashamba yenu?Kiongozi MPUMBAVU tu ndiye anayedhani watanzania wote milioni 60 ni watumishi wa umma
Ilikuwa ni jambo la kutumia kamera za Tbc taifa na kutengeneza filamu ambayo ingewekwa kwenye masoko mtandao ingeuzika na kuenea dunia nzima.
Hayo mabilioni yaliyotumika yangeimarisha huduma za afya huko vijijini maana vituo vya afya na Zahanati nyingi hazina madawa na vifaa tiba.
Hakuna kitu kipya hii filamu iliyogharimu pesa nyingi itabadili kwa sekta ya utalii. Mkuu wa nchi alipaswa kuwa na uchungu na taifa lake na wananchi wake.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito kichwani raia wake!
Hii awamu imekuwa mwiba mguuni kwako, hizo chuki zako zitakutesa sana.Wewe na watu wenye mtizamo kama wako, hawapaswi kulaumiwa maana tatizo lao ni uelewa na exposure. Kumlaumu mtu ambaye akili yake imefikia kimo cha kufikiri ni kumuonea bure.
Kwa lugha rahisi hiyo ni investment ambayo itazalisha. Kwa lugha rahisi zaidi ni mbegu ambayo itazalisha 1000x. .....
Sasa wewe ushauri wako ni kuwa ni bora tungekula mbegu. Mama alipaswa aongoze watoto kula mbegu ili aonekane anajali. Hahaahahah
Kuongoza nchi yenye watu wengi wenye uelewa wa namna hii, you must be very tricky! Vinginevo unaweza ukajikuta unaweka mbegu mezani kweli.
Ndugu yangu hapa tutaongea mengi sana ila mwatobaini utakaotibu mambo ya kijinga ktk nchi yetu ni KATIBA na TUME HURU YA UCHAGUZI.Nje ya hapo usitarajie chochote cha maana kwa mfumo tulionao.ujinga unaouona hauwezi kwisha kwa katiba hii na tume hii ya CCM.Lazima tukubali kama nchi kwamba wananchi ndio wenye MAMLAKA KAMILI KTK NCHI YAO.Tutashuhudia vituko vingi ktk nchi hii,movie ni sehemu tu ya ujinga mwingi ujao,tutaaminishwa mambo ya hovyo kuwa ndio sahihi lkn once tumepata KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI Kuna kitu cha tofauti kitatokea ktk nchi hii na tutajiona wazi kwa nn tumepoteza muda kiasi hicho.Ilikuwa ni jambo la kutumia kamera za Tbc taifa na kutengeneza filamu ambayo ingewekwa kwenye masoko mtandao ingeuzika na kuenea dunia nzima.
Hayo mabilioni yaliyotumika yangeimarisha huduma za afya huko vijijini maana vituo vya afya na Zahanati nyingi hazina madawa na vifaa tiba.
Hakuna kitu kipya hii filamu iliyogharimu pesa nyingi itabadili kwa sekta ya utalii. Mkuu wa nchi alipaswa kuwa na uchungu na taifa lake na wananchi wake.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito kichwani raia wake!
Tuko nyuma sana na wakati ila tatizo letu wabongo hatujajua hili, ndio maana tunaenda kuanzisha mambo makubwa huko ila cha kushangaza hadi leo bado tunaangaika na vyoo na kuhitaji msaada. Sasa hii miaka 60+ yote tunafanya nini kama hili la vyoo tu ni shida?Halafu waTz tumekuwa kama wote ni watoto wadogo 'malaika' tusiotambua jema na baya!
Kila lifanywalo na serikali lazima kuli compere na jambo fulani jingine!
Hivi huu ni ugonjwa ama laana sijui!
Hospitali na vituo vya afya vinajengwa, kwa hiyo mambo mengine yasianzishwe ama kutekelezwa hadi hapo vituo vya afya na mahospitali yatakapokamilika?
Hayo mahospitali walishakwambia ni mangapi wanatarajia kuwepo ndiyo iwe idadi tosha itakayokuridhisha wewe?
Kwa hiyo miradi yote ya maendeleo hupimwa kwa kujenga zahanati!
Ununuzi wa ndege, ujenzi wa Sgr na miradi mingine ya kimkakati kama hiyo haikufaa kutekelezwa ili kwanza yajengwe mazahanati!
Raia Tztuna safari ndefu sana kufikia kujitambua.
Watu mlilisema hilo na hadi sasa mnaendelea kulisema, sasa hili la Royal Tour nalo linasemwa pia.Mbona alinunua ndege kw matrilioni na mpaka sasa zinatengeneza hasara tu.