Kiongozi makini na anayejali wananchi wake asingekubali zaidi ya bil 11 kutumika kutengeneza filamu ya namna hii badala ya kuboresha huduma za afya

Labda wewe atakuelewa.
 
Kiongozi anayejali wananchi wake asingekubali kukaa miaka 6 madarakani bila nyongeza ya mishahara au kupandisha madaraja.
Unaongeza mshahara sh. 53,000 mfuko wa mbolea unaongezeka sh. 90, 000 hiyo ni akili au makamasi...tunaomba pesa iwe na thamani yaani nikienda bureau kubadiri pesa yangu ya madafu kuwa dola nilipie sh. 400 kwa dola moja ya kimarekani! Kuongesha mshahara huku vitu vikipanda bei mara nne ni ujinga!
Endeleeni kukopa ili muongeze mishahara, posho na marupurupu siku si nyingi mtaumbuka tu!
 
Mfuate Chato aongeze laki 5
 
Ongea kitu kingine siyo wazazi.. Kwa wazazi kwa Dar es salaam kutoka katikati ya barabara mpaka katikati ya sebule ni mita 42... Kwa kijijini kutoka ilipo barabara kuuubwa inayoenda nchi jirani kadhaa mpaka home ni mita 70...
 
Mfuate Chato aongeze laki 5
Bado unawaza kuongeza mshahara tu! Kama una tanki la maji linalovuja unadhani mbinu ni kuongeza ukubwa wake au kuziba pale panapovuja?
 
Bado unawaza kuongeza mshahara tu! Kama una tanki la maji linalovuja unadhani mbinu ni kuongeza ukubwa wake au kuziba pale panapovuja?
Hakuna mwenye haki miliki ya mawazo sahihi..
 
Wewe jamaa unajadili mambo usiyoyaelewa.
Hao TBC wataweza kufikia Targeted Audience
Mtandao gani TBC wataweka hiyo filamu?
Au unafikiri tukitwngaza kwenye Blog au Page yako itatosha?
Hujiulizi kwa nini Film Industry ya Bongo pamoja na kuwa na zaidi ya filamu 1000 lakini hakuna hata 1 inayouzwa Amazon?
 
Kiongozi anayejali wananchi wake asingekubali kukaa miaka 6 madarakani bila nyongeza ya mishahara au kupandisha madaraja.
Tutajengaje nchi bila wananchi kufunga mikanda bwan🤣🤣🤣🤣
 

Afadhali angeendeleza chato stadium hata kama hatuna timu huko.
 
Mzungu mwenyewe anaropoka ropoka tu hakuna hata la maana...

Nilitama mara moja tu ile movie na nilijilaumu kwakutumia muda wangu vibaya
 
Hii awamu imekuwa mwiba mguuni kwako, hizo chuki zako zitakutesa sana.
 
Ndugu yangu hapa tutaongea mengi sana ila mwatobaini utakaotibu mambo ya kijinga ktk nchi yetu ni KATIBA na TUME HURU YA UCHAGUZI.Nje ya hapo usitarajie chochote cha maana kwa mfumo tulionao.ujinga unaouona hauwezi kwisha kwa katiba hii na tume hii ya CCM.Lazima tukubali kama nchi kwamba wananchi ndio wenye MAMLAKA KAMILI KTK NCHI YAO.Tutashuhudia vituko vingi ktk nchi hii,movie ni sehemu tu ya ujinga mwingi ujao,tutaaminishwa mambo ya hovyo kuwa ndio sahihi lkn once tumepata KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI Kuna kitu cha tofauti kitatokea ktk nchi hii na tutajiona wazi kwa nn tumepoteza muda kiasi hicho.
 
Tuko nyuma sana na wakati ila tatizo letu wabongo hatujajua hili, ndio maana tunaenda kuanzisha mambo makubwa huko ila cha kushangaza hadi leo bado tunaangaika na vyoo na kuhitaji msaada. Sasa hii miaka 60+ yote tunafanya nini kama hili la vyoo tu ni shida?
 
Mbona alinunua ndege kw matrilioni na mpaka sasa zinatengeneza hasara tu.
Watu mlilisema hilo na hadi sasa mnaendelea kulisema, sasa hili la Royal Tour nalo linasemwa pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…