Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

They removed the President of Iran, they still removed the leadership of Hamas, again in the territory of Iran, in the center of the city of Tehran? and then there are fools who say Israel is ordinary people?
 
Mbona walimuua Yassin , Ransi na mapambano wanaendelea ?
Wameshamrahisishia njia huyo . Jihadi ni sunna ya Mtume . Hata Yesu wakitaka kumuua
Dogo kubali tu yaishe. Shukuru tu ulipata fursa ya kipekee katika maisha yako October 7 2023 kukata mauno. Wewe unaona ni vizuri kuendelea kutetea kwa jazba huku umebana marinda/mkundu kwa maumivu makali?

Kubali yaishe tu.
 
Usikute hata huyo Ayatollah mwenyewe ni informer wa Mossad
 
Umeelewa nilichoandika ,?waisrael wanaishi Iran wapo mpaka kweny vitengo vya siri , Raisi wa Iran kauliwa .

Israel ana undecover agents karibai sehemu zote ,wanaisrael hawawezi kuacha asili yao ng'o .
Na pia sunni na wakurdi ni vinega,,,,shia kwa usalama wao wajikate nao.......hii ishu ya jamaa wa hamas acha tuendelee kuicheki
 
Qur'an 2:154. Wala msiseme kuwa wale walio uwawa katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni maiti; bali hao ni wahai, lakini nyinyi hamtambui. 154
 
Ni siku mbaya sana kwa hawa viumbe
Ritz
Webabu
Morogoro kaskazini
Adiosamigo
Kosugi
Malaria 2
FaizaFixy
Bwana Utam
kimsboy

List ni ndeeefu mno
Nani tumtumie Rambi rambi
Wapi hakuna siku nimefurahi kama leo, kwanza hapo US ndio mwisho wake wakukaa tena hapo middle east, pili hapo ndio mwisho wa taifa la Israel lakina Paulo na watu kama nyie.

Anzeni kuwafungulia milango waisrael kwenye majumba yenu huko Israel usalama umeisha potea.

Afu hututaki nchi zingilie mpaa kule UN, wa kwanza huyo America alazimishe vita visimame 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…