Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Mossad wako busy kipindi hiki kuliko wakati wowote.. .
Netanyahu alishakula kiapo kusaka magaidi popote pale walipo
Na anatekeleza kiapo chake kwa weledi wa hali ya juu na kwa uaminifu mkubwa. Hao jamaa wataisha wote.
 
Hivi tofauti ya shia na Sunni ni nn? Mimi najua wote magaidi tu au?
Shia na Sunni ni maadui wakufa na kuuana; mfano mzuri ni Pakistani. Shida kubwa ni Sunni ambao hufundisha watoto wao kuwa Shia siyo waislam. Shia wao wanashikilia kuwa urithi wa kuendeleza uislam ulitakiwa apewa mtu wa ukoo wa Mohammad, Ali/Hussein badala ya Maswahaba. Na wanapinga kabisa nafasi aliyopewa Aisha, kale kabinti ka miaka 6 alichokaoa Mohammad. Kwa Ugaidi Sunni ndiyo Baba yao. Irani anaye champion Ushia shida yake amekomalia pale pale kwenye mafundisho ya Quran ya kutolitambua Taifa la Israel. Baadhi ya nchi za Kisunni kama UAE, SAUDIA MOROCCO NA EGYPT serikali zao wamesoma alama za nyakati na ku soften msimao huo. Sasa kwakuwa Wapalestina ambao ni SUNNI na wao wameendelea kubaki kwenye upumbavu wao wa Kiqurani wa kuliangamiza Taifa la Israel na wayahudi, msimamo huo ndiyo unawaleta pamoja na Iran 🇮🇷 SHIA ambao ni mahasimu wao kidini.
Hii ndiyo inafanya usisikie maandamano hata kidogo ya kuunga mkono Hamasi huko Saudia na UAE
 
Hamas wamefeli pakubwa mno, wameshindwaje kumlinda kiongozi wao Mkuu? Sasa kama kiongozi kauawa kuna nini tena? Warushe taulo basi.
Hamas sio anti baraka dada.
Na kama ulikua hujui Haniyeh sio kiongozi wa kwanza kufariki.
Kuna makundi matatu ndani ya Hamas hivyo si rahisi Hamas kuanguka kama unavyodhani.
 
Deep sana
 
Hii ni kawaida,Haniyeh sio kiongozi wa kwanza wa Hamas kuuawa.
Na mpaka leo haikuathiri operation zozote za Hamas.
Mkidhani mmewatia ulemavu Hamas ndio kwanza hasira ya kisasi imeamshwa.
Mbaya zaidi Israel imeua na kamanda wa Hizbollah.
Nadhani tusubiri tuone majibu yatakayotolewa,ila kisasi kitalipwa.
Tehran kuna wayahudi zaidi ya laki 8 hivyo tukio kufanyika ni rahisi.
 
Nawaza siku Netanyahu wakimdaka watamchuna pumbv akiwa hai.

Safi sana wana wa Israel.
 
Kafika mwisho wake
 
I never knew this before! Kumbe ni mambo ya kijinga tu. ASANTE MKUU WANGU
 
Kujifariji ni kawaida na inatakiwa.Lakini ni uhakika hatakuwa sawa 100% kama aliyetangulizwa. Tena ujue hata huyo mbadala naye watapita naye.
Mkuu labda kama Hamas umeanza kuifuatilia juzi.
Alikufa Yasser Arafat kila mmoja alisema harakati za Palestina kuwa huru zimeshakufa,ila hadi leo harakati zimepamba moto.
Hao sio wamakonde mzee.
Yani wakipotelewa na mtu muhimu wanakua makini zaidi ya kawaida.
Anachofanya Israel hakina impact yeyote ile,maana kuua viongozi hajaanza leo ila Hamas iko palepale na inaimarika zaidi.
 

Air attack targeted Haniyeh in early hours of morning: Reports​


Iranian media are reporting that the Hamas leader was killed by an “airborne guided projectile” that hit the residence where he was staying in the north of the capital, Tehran.

Nimewahi kusema hili Swala la Rais wa Tanzania kukaa na viongozi wote Jukwaa moja liangaliwe upya technology imekuwa sana
 
Duh, kauawawa kwa njia ya Mungu?
Aliyefadhili mauaji ya mayahidi oktoba 7 ni mwana wa Mungu?
Unapaswa utambue kabla ya shambulio la Oktoba 7 mnamo August wayahudi washenzi wasio na utu walikua wanavamia mashamba ya wapalestina na kupora mali zao na kuvunja nyumba zao.
Je hili unalitambua!?
 
Quote: "Hii ni kawaida, Haniyeh sio kiongozi wa kwanza wa Hamas kuuawa."
Kwa hiyo wameshazoea kuuawa. Kumbe wanafurahia kuuawa. Hiyo ahadi hewa ya mabikra 72 na mito ya pombe inawaponza mno.
 
Unapaswa utambue kabla ya shambulio la Oktoba 7 mnamo August wayahudi washenzi wasio na utu walikua wanavamia mashamba ya wapalestina na kupora mali zao na kuvunja nyumba zao.
Je hili unalitambua!?
Unapaswa kutambua kabla ya Wayahudi/ Ma- setla wa kiyahudi walipigwa na nchi sita ya magaidi ya kiislamu na yaliteketezwa hayo magaidi na misri wakasaini mkataba wa amani.
 
Quote: "Hii ni kawaida, Haniyeh sio kiongozi wa kwanza wa Hamas kuuawa."
Kwa hiyo wameshazoea kuuawa. Kumbe wanafurahia kuuawa. Hiyo ahadi hewa ya mabikra 72 na mito ya pombe inawaponza mno.
Nilichomaanisha hilo sio tukio la kuwavunja nguvu Hamas.
 
Bila Uingereza kufosi waIsrael kuishi na waPalestina, Hamas ingekuwepo leo 2024??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…