Cohenlukinga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 279
- 352
Halafu hii ni makusudi kabisa,yaani ameuwawa ndani ya Iran ,hii inaonyesha mayahudi yanafatilia nyendo zao kimya kimya bila wao kujua,waarabu wakubali tu myahudi hawamuwezi kabisa lakini bado wanajitutumua wakiamini ipo siku moja watashindaNa mi najiuliza si wanasemaga Iran ni balaa yahudi hamuwezi sasa inakuwaje tena mja wa allah hani anauwawa tena ndani ya Iran jameniπ€£ππ wairani walikuwa wapi kumlinda π€£ππ
Myahudi kisasi chake huwa si cha kitoto utamdhuru leo utafurahi sana na utakimbia kimbia wee ila ipo siku atalipaHalafu hii ni makusudi kabisa,yaani ameuwawa ndani ya Iran ,hii inaonyesha mayahudi yanafatilia nyendo zao kimya kimya bila wao kujua,waarabu wakubali tu myahudi hawamuwezi kabisa lakini bado wanajitutumuabwakiamini ipo siku moja watashinda
Hakuna hiyo Vita , Qur an imeeleza wazi kabisaWaislamu wanavita na wakristo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119].mabikraaaaViongozi wanakufa lakini wakija wale vilaza utasikia wanakufa watoto na wanawake.
Anyway hakuna asie tamani mabikira 72
Mbele ya waarabu mamilioni......hawaoni aibu kweli ka nchi kadogo miaka na miaka kinawapelekeshaKanaishi Kwa mgongo wa USA
"Dini ya amani" inaruhusu kisasi?Kifo kwa Israel hivyo ndivyo wanavyosema.
Kisasi kitalipwa tu.
KweliAnalysis nzuri, angalau sisi wa D mbili tunakuwa kwenye page moja wa wajuzi wa mambo.
Sio watu ni nini?Porojo kutoka masjid ubwabwa. Nchi yoyote ya kiarabu kama ingefaulu kuishinda Israel basi hilo taifa lisingekuwepo leo.
Hao waisrael wasikieni kwa mbali tu sio watu wa kawaida wale na waarabu wote wanafahamu hilo na ndio maana hawahangaiki nao tena.
Hamas wameshamalizwa Kwenye uwanja wa Mapambano kwa asilimia 95 wamebaki mpiganaji mmoja mmoja anaepigana kwa kujiongoza mwenyewe .
Gaza inatawaliwa na Israel , West Bank inasimamiwa na Israel kiulinzi maanake ndoto ya Palestina kuwa na serikali Yao imekufa mazima .
Iran na mataifa mengine ya jirani na Israel zinapigana vita kizamani sana.Iran ni nchi dhaifu sana jinga kabisa...Yaani Watu Wanaingia pale wanamuua Mtu kama Heniyeh na kuondoka shenzi sana...
Imekua mara nyingi Iran inakua na udhaifu huu hovyo kabisa hawa jamaa...
nchi ya Iran ni hovyo yenyewe haiwezi kuingia Israel ikaua hata mkiti wa mtaa....
Wapuuzi sana hawa Iran..Heniyeh ni kamanda aliefia nchi yake.Alale pema
Kumbe nyie wenyewe hampatani?Marafidhwah (mashia) wanajulikana kwa khiyana katika historia.
Salahuddin (Allah amrehemu) kabla ya kuikomboa Al Quds (Jerusalem) kutoka katika mikono ya crusaders aliwabonda kwanza mashia wa Misri. Hakwenda kuikomboa al Quds kutoka katika mikono ya crusaders huku mgongoni mwake kuna 'Ubaydiyyun (mashia walioitawala Misri).
Kina Khamenei, HezboShaytaan na Houthi sio wa kuwaamini.
Watu wanaomtukana na kumkufurisha Amiri wa Waumini 'Umar na wenzake katika maswahaba (Allah Awaridhie wote) walioikomboa Al Quds mwanzo kabisa kutoka kwa warumi na kuifungua kwa ajili ya Uislam, hawawezi kuikomboa al Quds sasa kama ambavyo hawakuweza kuikomboa ilipochukuliwa tena na crusaders na kuja kukombolewa na Waislam akina Salahuddin. Wao ni watu wakuwafanyia njama na khiyana tu Waislam.
Allah awasamehe na awarehemu ndugu zetu Waislam wote waliouawa katika vita hii. Allah awanusuru ndugu zetu wanyonge na wadhaifu.
Iran security system is overrated.Gazeti la serikali wamelaumu kuwa kama Israel wameweza kupiga kwenye eneo la jeshi la Iran lenye ulinzi mkali na kumuua kiongozi wa hamas ni fedheha kwa usalama wa nchi na viongozi wao...
Hakuna ndege wala rada iliyoweza kugundua kama kuna hatari ndani ya Iran
eeeh! Umetoka jela lini?Alikufa natural death, hakuuawa.
Lete ubuyu wake.Imebidi nikahakikishe kwenye vyombo vikubwa vya habari, ni kweli ameuawa.
Dah!
Inawezekana MOSSAD walishapandikiza watu wao ndani ya Security Agency ya Iran, hao watu hawatabiriki kabisa. Inahitaji akili kubwa sana kula nao sahani moja.Yes, tunaassume hivyo maana hata Iran mwenyewe hajui zaidi yakusisitiza shida ni Ukungu ilihali ilikuwa convoy ya 3x Helicopter na iliyombeba Rais ilikuwa katikati lakini ikavanish kwenye radar ilihali hizi mbili ziko operational.
Gaps ndio zinatutia shaka kwa Taifa kubwa kama Iran yenye uadui na super powers, kwanza unatumiaje Helicopter iliyotengenezwa na adui, tena kubeba high profile leader ambaye anawindwa usiku mchana, hii ilionyesha udhaifu wa Hali ya juu maana kwenye Helicopter Kuna electronics chips hasa control box ambazo unaweza kuwasiliana nazo remotely na hata kushutdown engine au device nyingine muhimu zakuiweka angani Helicopter.
Sio kidogo!Pole sana,naona umeumia
Kweli mkuu, taarifa za kiintelejensia ndizo ninazompa adua yako Upper handMkuu, gaps ndio zinakufanya uwe dhaifu na kupigika kirahisi, kama tunakubaliana ndani ya Iran kuna pro-israeli na ndio wanawezesha high profile kuwa eliminated unafikiri unawezaje kuwa salama kijeshi maana hao hao informers ndio wanaweza hata kujua stock ya ammunition yako na namna inafanya production nk.
Vita yeyote inaanzia kwenye ujasusi, ukifeli kwenye ujasusi maana yake hata vitani unaweza kufail vibaya, ndio maana kuna wakati gharama za ujasusi zinaweza kuwa kubwa kuliko vita yenyewe maana ujasusi pia unaweza kuepusha vita kwa kuimaliza kabla haijaanza.