Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Na mi najiuliza si wanasemaga Iran ni balaa yahudi hamuwezi sasa inakuwaje tena mja wa allah hani anauwawa tena ndani ya Iran jameni🤣😂😆 wairani walikuwa wapi kumlinda 🤣😂😆
Halafu hii ni makusudi kabisa,yaani ameuwawa ndani ya Iran ,hii inaonyesha mayahudi yanafatilia nyendo zao kimya kimya bila wao kujua,waarabu wakubali tu myahudi hawamuwezi kabisa lakini bado wanajitutumua wakiamini ipo siku moja watashinda
 
Halafu hii ni makusudi kabisa,yaani ameuwawa ndani ya Iran ,hii inaonyesha mayahudi yanafatilia nyendo zao kimya kimya bila wao kujua,waarabu wakubali tu myahudi hawamuwezi kabisa lakini bado wanajitutumuabwakiamini ipo siku moja watashinda
Myahudi kisasi chake huwa si cha kitoto utamdhuru leo utafurahi sana na utakimbia kimbia wee ila ipo siku atalipa
Ndo maana ya jino kwa jino
 
Gazeti la serikali wamelaumu kuwa kama Israel wameweza kupiga kwenye eneo la jeshi la Iran lenye ulinzi mkali na kumuua kiongozi wa hamas ni fedheha kwa usalama wa nchi na viongozi wao...
Hakuna ndege wala rada iliyoweza kugundua kama kuna hatari ndani ya Iran
 
Viongozi wanakufa lakini wakija wale vilaza utasikia wanakufa watoto na wanawake.

Anyway hakuna asie tamani mabikira 72
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119].mabikraaaa
 
Porojo kutoka masjid ubwabwa. Nchi yoyote ya kiarabu kama ingefaulu kuishinda Israel basi hilo taifa lisingekuwepo leo.

Hao waisrael wasikieni kwa mbali tu sio watu wa kawaida wale na waarabu wote wanafahamu hilo na ndio maana hawahangaiki nao tena.
Sio watu ni nini?
 
Hamas wameshamalizwa Kwenye uwanja wa Mapambano kwa asilimia 95 wamebaki mpiganaji mmoja mmoja anaepigana kwa kujiongoza mwenyewe .

Gaza inatawaliwa na Israel , West Bank inasimamiwa na Israel kiulinzi maanake ndoto ya Palestina kuwa na serikali Yao imekufa mazima .

Magaidi wa kiislamu wa Hamas kwa sasa wasubiri miaka 70 ndio wafikiriwe kupewa hata mita 10 za ardhi.
 
Iran ni nchi dhaifu sana jinga kabisa...Yaani Watu Wanaingia pale wanamuua Mtu kama Heniyeh na kuondoka shenzi sana...

Imekua mara nyingi Iran inakua na udhaifu huu hovyo kabisa hawa jamaa...

nchi ya Iran ni hovyo yenyewe haiwezi kuingia Israel ikaua hata mkiti wa mtaa....
Wapuuzi sana hawa Iran..Heniyeh ni kamanda aliefia nchi yake.Alale pema
Iran na mataifa mengine ya jirani na Israel zinapigana vita kizamani sana.
Mataifa ya ghuba yanapaswa kuwekeza kwenye ujasusi kabla haijafikiria chochote.
Zenyewe zinadhani kumiliki drones, na makombora ya masafa marefu inatosha.
Dunia ya leo kama huna mbinu za kijasusi unafeli pakubwa.

Nchi za ghuba wana pesa lakini hawataki kusoma ili kujifunza namna bora ya kujilinda
Israel ni kitaifa kidogo sana lakini wamewekeza sana kwenye ujasusi, hivyo wanafanikisha mipango yao mingi.
Iran pamoja na raslimali nyingi walizonazo bado wanapigana vita kwa vitisho vya mdomo.
Acha wapigike ili wajifunze.
 
Marafidhwah (mashia) wanajulikana kwa khiyana katika historia.

Salahuddin (Allah amrehemu) kabla ya kuikomboa Al Quds (Jerusalem) kutoka katika mikono ya crusaders aliwabonda kwanza mashia wa Misri. Hakwenda kuikomboa al Quds kutoka katika mikono ya crusaders huku mgongoni mwake kuna 'Ubaydiyyun (mashia walioitawala Misri).

Kina Khamenei, HezboShaytaan na Houthi sio wa kuwaamini.

Watu wanaomtukana na kumkufurisha Amiri wa Waumini 'Umar na wenzake katika maswahaba (Allah Awaridhie wote) walioikomboa Al Quds mwanzo kabisa kutoka kwa warumi na kuifungua kwa ajili ya Uislam, hawawezi kuikomboa al Quds sasa kama ambavyo hawakuweza kuikomboa ilipochukuliwa tena na crusaders na kuja kukombolewa na Waislam akina Salahuddin. Wao ni watu wakuwafanyia njama na khiyana tu Waislam.

Allah awasamehe na awarehemu ndugu zetu Waislam wote waliouawa katika vita hii. Allah awanusuru ndugu zetu wanyonge na wadhaifu.
Kumbe nyie wenyewe hampatani?

Salamaleko
😂 😂
 
Gazeti la serikali wamelaumu kuwa kama Israel wameweza kupiga kwenye eneo la jeshi la Iran lenye ulinzi mkali na kumuua kiongozi wa hamas ni fedheha kwa usalama wa nchi na viongozi wao...
Hakuna ndege wala rada iliyoweza kugundua kama kuna hatari ndani ya Iran
Iran security system is overrated.
 
Yes, tunaassume hivyo maana hata Iran mwenyewe hajui zaidi yakusisitiza shida ni Ukungu ilihali ilikuwa convoy ya 3x Helicopter na iliyombeba Rais ilikuwa katikati lakini ikavanish kwenye radar ilihali hizi mbili ziko operational.

Gaps ndio zinatutia shaka kwa Taifa kubwa kama Iran yenye uadui na super powers, kwanza unatumiaje Helicopter iliyotengenezwa na adui, tena kubeba high profile leader ambaye anawindwa usiku mchana, hii ilionyesha udhaifu wa Hali ya juu maana kwenye Helicopter Kuna electronics chips hasa control box ambazo unaweza kuwasiliana nazo remotely na hata kushutdown engine au device nyingine muhimu zakuiweka angani Helicopter.
Inawezekana MOSSAD walishapandikiza watu wao ndani ya Security Agency ya Iran, hao watu hawatabiriki kabisa. Inahitaji akili kubwa sana kula nao sahani moja.
 
Mkuu, gaps ndio zinakufanya uwe dhaifu na kupigika kirahisi, kama tunakubaliana ndani ya Iran kuna pro-israeli na ndio wanawezesha high profile kuwa eliminated unafikiri unawezaje kuwa salama kijeshi maana hao hao informers ndio wanaweza hata kujua stock ya ammunition yako na namna inafanya production nk.

Vita yeyote inaanzia kwenye ujasusi, ukifeli kwenye ujasusi maana yake hata vitani unaweza kufail vibaya, ndio maana kuna wakati gharama za ujasusi zinaweza kuwa kubwa kuliko vita yenyewe maana ujasusi pia unaweza kuepusha vita kwa kuimaliza kabla haijaanza.
Kweli mkuu, taarifa za kiintelejensia ndizo ninazompa adua yako Upper hand
 
Back
Top Bottom