Yes, tunaassume hivyo maana hata Iran mwenyewe hajui zaidi yakusisitiza shida ni Ukungu ilihali ilikuwa convoy ya 3x Helicopter na iliyombeba Rais ilikuwa katikati lakini ikavanish kwenye radar ilihali hizi mbili ziko operational.
Gaps ndio zinatutia shaka kwa Taifa kubwa kama Iran yenye uadui na super powers, kwanza unatumiaje Helicopter iliyotengenezwa na adui, tena kubeba high profile leader ambaye anawindwa usiku mchana, hii ilionyesha udhaifu wa Hali ya juu maana kwenye Helicopter Kuna electronics chips hasa control box ambazo unaweza kuwasiliana nazo remotely na hata kushutdown engine au device nyingine muhimu zakuiweka angani Helicopter.