Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Wapigane wao tuombe sisi🤔🤔
 
Dubai ni sehemu ya UAE na makao yao ya nchi yako Abu Dhabi. Mwaka 2008 kwenye mgogoro wa fedha duniani Dubai waliathirika kifedha hadi wakakaribia kushindwa kumaliza ujenzi wa Burj Khalifa. Mfalme Zayed wa Abu Dhabi ndiye aliwa bail out
Mitandao inadanganya sana ukikaa na Raia wa Dubai wanakuambia ukweli asilimia tatizo watanzania hawafikirii mbali tunafikiria kupiga hela katika muda mfupi tulio nao maana tunajua cheo ni dhamana.
 
Sasa kina Hamas si wanajivunia Allah muweza wa yote kuliko technology kila kitu wakifanya Allah akbar. Kulikoni Allah? Kumbe Allah si chochote mbele ya Israel mbele ya marekani. Anachojua ni kiarabu tu. Bure kabisa.

Endelea kubana marinda na mkundu huku ukiandamwa na uchungu mkuu.

Imam Hussein FOREVER

Jagina
 
Asee chalii yangu wa nguvu Stuxnet mnyakyusa mwenyewe, mbona umesahau wayahudi wa Tanzania kwenye hiyo listi teule?

Accumen Mo darcity
 
Mungu Alisha onya kwenye Torati.
Kutoka (Exo) 20:7
"Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure"
Ukiona anatajwa tajwa sana naye anafurahi ujue huyo sie yeye.
 
Imam Hussein ameingiaje hapa
 
Wewe ni bogaz kweli ,na udini wako ballistic missile Iran alirusha 200 Israel zikadakwa zote, safari hii mtakiona cha moto
Huwa siongei na mandezi,kama unataka majadiliano njoo kwa adabu kima wewe.
Iran alirusha drone+missiles 300.
Na katika hizo 90% walizidungua UK,USA na Jordan.
Inamaana Israel alipatwa na makombora machache kwasababu mengi yalishadunguliwa na UK,USA na Jordan,ripoti zipo ukitaka sema tukupe.
Sasa jiulize kama USA,UK na Jordan wasingeshiriki kuyadungua Israel angekua katika hali gani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…