Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi mkuu wa Hamas ameuwawa huko Tehran wakati akijiandaa kuhudhuria uapisho wa Rais mpya wa nchi hiyo ...

Hofu imetanda ya uwezekano wa vita kamili kati ya Hezbolah na Israel kutokea, kwani hapo jana pia Kamanda mkuu wa Hezb nae kauwawa katika shambulio la kulipa kisasi kufuatia mauaji yaliyofanywa n kundi hilo huko kwenye milima ya Golan.

Tuongeze maombi.
Wapigane wao tuombe sisi🤔🤔
 
Dubai ni sehemu ya UAE na makao yao ya nchi yako Abu Dhabi. Mwaka 2008 kwenye mgogoro wa fedha duniani Dubai waliathirika kifedha hadi wakakaribia kushindwa kumaliza ujenzi wa Burj Khalifa. Mfalme Zayed wa Abu Dhabi ndiye aliwa bail out
Mitandao inadanganya sana ukikaa na Raia wa Dubai wanakuambia ukweli asilimia tatizo watanzania hawafikirii mbali tunafikiria kupiga hela katika muda mfupi tulio nao maana tunajua cheo ni dhamana.
 
SASA ulitaka niuachie uwe wazi kama wako baada ya kuingiziwa mipini? Najiliwaza nini wakati Hali naiona? Una teknolojia kubwa za dunia yote,taifa teule la Mungu ukipumua Tu adui anapotea unapigana vita na hamas kilundi cha wahuni wachache wasio na lolote kijeshi Kwa muda WA mwaka? Kweli? Mkiwa mnashiba divai muwe mnaziweka na akili zenu huru
Sasa kina Hamas si wanajivunia Allah muweza wa yote kuliko technology kila kitu wakifanya Allah akbar. Kulikoni Allah? Kumbe Allah si chochote mbele ya Israel mbele ya marekani. Anachojua ni kiarabu tu. Bure kabisa.

Endelea kubana marinda na mkundu huku ukiandamwa na uchungu mkuu.

Imam Hussein FOREVER

Jagina
 
Ukisoma Biblia kuna yale maakabila 12 ya wana wa Idrael yaliyofurushwa na Mfalme Nebuchadnezzar miaka 600 BCE na kupelekwa utumwani Babylon (Iraq ya sasa)

Miaka michache baadaye Cyrus the Great mfame wa Uajemi (Iran ya sasa) akamshinda Mfalme wa Babylon na kuunganisha dola ile na ya Uajemi. Hivyo kwenye miaka 530 BCE akawaruhusu wana wa Israel warudi Jerusalem wakajenge upya hekalu.

Makabila yaliyorudi ni mawili tu; kabila la Yuda na la Benjamin. Makabila mengine 10 yanagesabiwa kama "10 lost tribes".

Hizi "10 lost tribes" yasemekana wengine ni wa Iran, Pashtun wa Afghanistan, Ibo wa Nigeria etc.

Sishangai kwa hiyo kuona Wayahudi wengi Iran
Asee chalii yangu wa nguvu Stuxnet mnyakyusa mwenyewe, mbona umesahau wayahudi wa Tanzania kwenye hiyo listi teule?

Accumen Mo darcity
 
Sasa kina Hamas si wanajivunia Allah muweza wa yote kuliko technology kila kitu wakifanya Allah akbar. Kulikoni Allah? Kumbe Allah si chochote mbele ya Israel mbele ya marekani. Anachojua ni kiarabu tu. Bure kabisa.

Endelea kubana marinda na mkundu huku ukiandamwa na uchungu mkuu.

Imam Hussein FOREVER

Jagina
Mungu Alisha onya kwenye Torati.
Kutoka (Exo) 20:7
"Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure"
Ukiona anatajwa tajwa sana naye anafurahi ujue huyo sie yeye.
 
Sasa kina Hamas si wanajivunia Allah muweza wa yote kuliko technology kila kitu wakifanya Allah akbar. Kulikoni Allah? Kumbe Allah si chochote mbele ya Israel mbele ya marekani. Anachojua ni kiarabu tu. Bure kabisa.

Endelea kubana marinda na mkundu huku ukiandamwa na uchungu mkuu.

Imam Hussein FOREVER

Jagina
Imam Hussein ameingiaje hapa
 
Wewe ni bogaz kweli ,na udini wako ballistic missile Iran alirusha 200 Israel zikadakwa zote, safari hii mtakiona cha moto
Huwa siongei na mandezi,kama unataka majadiliano njoo kwa adabu kima wewe.
Iran alirusha drone+missiles 300.
Na katika hizo 90% walizidungua UK,USA na Jordan.
Inamaana Israel alipatwa na makombora machache kwasababu mengi yalishadunguliwa na UK,USA na Jordan,ripoti zipo ukitaka sema tukupe.
Sasa jiulize kama USA,UK na Jordan wasingeshiriki kuyadungua Israel angekua katika hali gani!?
 
Back
Top Bottom