Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Nimesoma credible source, nasikia usiku wa kuamkia leo, Ayatollah na walinzi wake wamehama handaki na kukimbia location nyingine, wako underground huko Tehran kuhofia kumalizwa na MOSAD, inaonekana MOSAD wameamua kukata vichwa vya viongozi tu au kuwamaliza viongozi wa maadui wao wote, wanajua wakimalizwa hoo, hakuna atakaye toa order za vita tena..!!

Kiongozi wa Hezbollah, Nasrallaah hajulikani alipo, sbb makomandoo wa MOSAD wameingia ndani ya Lebanon hawajulikani na wanamsaka live, Nasrallaah anajirikodi alafu anatuma clip kwa vijana wake waitume kwenye news outlets mbalimbali, ila haijulikani yuko wapi…!!
Pia kiongozi wa Houthi huko Yemen, hajulikani alipo, soon utasikia moto toka angani kwenye ndege vita za Israel zikimmaliza..!!

Ndani ya mwezi mmoja ujao tutasikia mengi..!!
 
Hawajaanza Leo kuuwawa na Wala hamtakuja kuwamaliza ndio maana wakipata Nguvu nao wanaua hivyo hivyo , tofauti ni namba ya wanaouwawa.
Hao Palestina Israel akiamua fagia hiyo ni siku moja tu tatizo mnajificha kwa Raia wakipigwa wachache tu kelele nyingi ,wewe na wenzako kina FaizaFoxy ,Bwana Utam ,Malaria 2 hamuwezi elewa hapa mmebaki ushabiki tu , hata huyo Iran ni anaongea tu hakuna cha maana anachoweza fanya .
 
Wanapambana Toka 1945 na hawajawamaliza hapo ndio unaongea nini Sasa?
 
Hamas wamefeli pakubwa mno, wameshindwaje kumlinda kiongozi wao Mkuu? Sasa kama kiongozi kauawa kuna nini tena? Warushe taulo basi.
Majukumu ya kumlinda alikabidhiwa Iran. Ofisi zao zilihamishiwa Baghdad kutokea Doha Qatar.

Kwa vyovyote vile kauzwa. Pale Iraq, Sunni pamoja na Kurds hawakutaka ofisi za Hamas zihamishiwe Iraq.

Kwahiyo ina maana kuna waliouza movements zake na ku share intelligence na MOSSAD.

Mbaya zaidi, ameuwawa ndani ya Taifa lilotakiwa kuhakikisha ulinzi na usalama wake.

Tena siku ya kuapisha rais wao mpya ambapo ulinzi ulitakiwa uwe wa hali ya juu kabisa!
 
Hamas sasa imekwisha maana Heniyeh ndio alikua na mikakati yote kichwani akisaka fedha huku na huko na silaha. Yaani ni mtu mwerevu sana ambae hili la kuuwawa kwake imekua pigo kuhwa sana kwa Hamas.
Kifo cha haniyeh pigo haswa tena haswaa
Ila suala la hamas kwisha sahau mzee
Hamas ipo ipo sana kama imeweza kuhimili vita mwaka sasa haiwezi kwisha kwa kufa haniyeh
 
Hamas wanapiga tukio la October 7 intelligence yao ilikuwa wapi?


Mpaka leo mateka bado hawajakomboleawa intelligence yao ipo wapi?
focus yao haikuwa kuwakomboa mateka mana hao ndo wanaofanya israel apate kisingizio cha kupigana vita.. inteligence yao ipo iran kama wameweza kumuua raisi wa iran nchini kwke na rais wa hamas nchini iran unauliza swali gani?
 
56 People are here, tuendelee kudadavua
 
Wewe unajua ila dunia nzima haijui heheee😀😀😀
 
Pole kijana
Israhell asifyagie kwakua watu wanajificha nyuma ya raia
Akomboe kwanza mateka wake tuone kama anaueezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…