Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Sorry for your loss.

Pata faraja kutoka kwa kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Allah Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma ampe qauli thabeet
Ila msisahau kuna shahidi mwingine huko lebanon afisa mwandamizi wa hezbollah bwana Fahud shakr amepelekwa kwenye visiwa vya mabikira jana usiku
 
Kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh ameuawa nchini Iran, kundi hilo limesema.

Katika taarifa iliyotolewa leo siku ya Jumatano, Hamas imesema Haniyeh aliuawa kufuatia uvamizi wa Israel kwenye makazi yake mjini Tehran.

Kwa mujibu wa kundi hilo, Haniyeh alifariki baada ya kushiriki sherehe za kuapishwa kwa Rais mpya wa Iran Masoud Pezeshkian aliyeapishwa siku ya Jumanne.

Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Irani lilisema chanzo cha "tukio" hakijafahamika mara moja lakini "kinachunguzwa", shirika la habari la AFP liliripoti.

View attachment 3057258

Usicheze na MOSSAD
Bora!
 
Jamaa kauzwa , Kaishi Qatar miaka kibao juzi tu hapa kaenda Iran ndio kauzwa ...Nasrallah aligoma kwenda hapa kutakuta kutokea vita hawa iran wanauza wenzao .

Nchi za salaama ni Qatar na saudia pale kati , hazina ufungamano wa makundi zaidi ya serikali
Sidhani kama Iran ndiye anauza wenzake.
Ila labda kutakua kuna uwepesi wa kugundulika huko Iran.
 
yupi unayemwongelea? Yesu Kristo yu hai, alifufuka,na anaokoa, ila mnyazi hana nguvu hata ya kuokoa mpalestina.
Alifufuka ulimwona wapi ? Hao waliokuhadithia wote alipokamatwa walimkimbia. Soma Mark 14 :50
 
yupi unayemwongelea? Yesu Kristo yu hai, alifufuka,na anaokoa, ila mnyazi hana nguvu hata ya kuokoa mpalestina.
Huyo Yesu yuwapi awaokoe Ukraine wanaokufa!?
Huyo Yesu yuwapi awaokoe askari wa Israel wanaopata ulemavu na kufa kwa vita ya Gaza!?
Yesu ambaye alipigiliwa misumari ndio ajue ama aweze kuokoa!?
 
Hawa Waislam ndiyo wanafanya hii vita iendelee, ona sasa wanavyojishitaki wenyewe kwa haya maandiko ya Quran. Ndiyo hivyo hivyo wanawatoa kafara maskini wapalestina wa watu wakiwahadaa kuwa vita hiyo ni ya Allah, wao kufa ni dhwawabu kwa Allah, wataridhi mabikira 72 mbinguni. Kitabu chao kinawaelekeza kuwaua wayahudi na wakristo ili uislamu utawale Dunia. Sasa ngoja tuone mwisho wake. Na huyo Iran wanayemshabikia wajue ni Shia; kuna vita mtaipata kati yenu Sunni na Shia hamtakuwa salama
Hivi tofauti ya shia na Sunni ni nn? Mimi najua wote magaidi tu au?
 
Alifufuka ulimwona wapi ? Hao waliokuhadithia wote alipokamatwa walimkimbia. Soma Mark 14 :50
yaani wewe hujafikia level ya kubishana vifungu vya Bible na mimi, kwasababu hauijui, kwa kukusaidia, amini tu kwamba alifufuka ili tuokoe muda.
 
Peace,

Na hao ndio Wayahudi hawacheki na kima. Hiyo inaitwa double victory, imagine ndani ya masaa machache huku wamemtandika kiongozi mkuu wa Hizbollah kule wamemtandika kiongozi mkuu wa Ham-ass tena ndani ya Iran na sio Iran tu ndani ya Tehran.

Yani ni kwamba the Arabs are learning the hard way that they messed up with the wrong number. The bastards are paying a huge price Takbir

Waje hapa wasewe Israel inaua watoto na wanawake. Kwa mwendo huu Israel imeonyesha jinsi gani iko hatua 1000 mbele ya wasaka bikra

Kama hawa unanyofolewa uhai ndani ya Tehran unaweza kujiuliza wapi watajificha na hii unaambiwa ni warm up kwa kauli alizotoa Israel waarabu wategemee kufurahishwa zaidi.
Screenshot_20240731-100358_Quora.jpg


Dj wasindikize na ngoma ya "wameyatimba"
 
Huyo Yesu yuwapi awaokoe Ukraine wanaokufa!?
Huyo Yesu yuwapi awaokoe askari wa Israel wanaopata ulemavu na kufa kwa vita ya Gaza!?
Yesu ambaye alipigiliwa misumari ndio ajue ama aweze kuokoa!?
SWali kama hili huwaga nzuri kwa pande zote mbili
 
Back
Top Bottom