Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Naunga mkono, inakua kizembe sanaWaarabu wananihudhi sana kwa kuonyesha uzembe mkubwa namna hii!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono, inakua kizembe sanaWaarabu wananihudhi sana kwa kuonyesha uzembe mkubwa namna hii!
Safari hii myahudi hacheki na magaidiMkuu usiseme vita kati ya Hezbolah na Israel, sema Israel anamaliza magaidi, safari hii hivi vikundi vimejichanganya kazi wanayo
Ila msisahau kuna shahidi mwingine huko lebanon afisa mwandamizi wa hezbollah bwana Fahud shakr amepelekwa kwenye visiwa vya mabikira jana usikuSorry for your loss.
Pata faraja kutoka kwa kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Allah Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma ampe qauli thabeet
Alafu kuna kajamaa flani huku Afrika kalikuwa kanataka kuanzisha maandamano kuunga mkono mauaji ya 7/10.Duh!!!
Mzayuni siyo poa he means business.
Bora!Kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh ameuawa nchini Iran, kundi hilo limesema.
Katika taarifa iliyotolewa leo siku ya Jumatano, Hamas imesema Haniyeh aliuawa kufuatia uvamizi wa Israel kwenye makazi yake mjini Tehran.
Kwa mujibu wa kundi hilo, Haniyeh alifariki baada ya kushiriki sherehe za kuapishwa kwa Rais mpya wa Iran Masoud Pezeshkian aliyeapishwa siku ya Jumanne.
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Irani lilisema chanzo cha "tukio" hakijafahamika mara moja lakini "kinachunguzwa", shirika la habari la AFP liliripoti.
View attachment 3057258
Usicheze na MOSSAD
Myahudi kama Halland, anatupia tuSafari hii myahudi hacheki na magaidi
Sidhani kama Iran ndiye anauza wenzake.Jamaa kauzwa , Kaishi Qatar miaka kibao juzi tu hapa kaenda Iran ndio kauzwa ...Nasrallah aligoma kwenda hapa kutakuta kutokea vita hawa iran wanauza wenzao .
Nchi za salaama ni Qatar na saudia pale kati , hazina ufungamano wa makundi zaidi ya serikali
Duh, kauawawa kwa njia ya Mungu?Qur'an 2:154. Wala msiseme kuwa wale walio uwawa katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni maiti; bali hao ni wahai, lakini nyinyi hamtambui. 154
Alifufuka ulimwona wapi ? Hao waliokuhadithia wote alipokamatwa walimkimbia. Soma Mark 14 :50yupi unayemwongelea? Yesu Kristo yu hai, alifufuka,na anaokoa, ila mnyazi hana nguvu hata ya kuokoa mpalestina.
Mwana wa Mungu kwani Mungu ana mke?Duh, kauawawa kwa njia ya Mungu?
Aliyefadhili mauaji ya mayahidi oktoba 7 ni mwana wa Mungu?
Huyo Yesu yuwapi awaokoe Ukraine wanaokufa!?yupi unayemwongelea? Yesu Kristo yu hai, alifufuka,na anaokoa, ila mnyazi hana nguvu hata ya kuokoa mpalestina.
Wataanza kusema Iran 🇮🇷 kawauza kwa sababu yeye ni Shia na wao akina Haniye ni Sunni. Mijitu ya Shetani itafikia tu huko wewe subiriSidhani kama Iran ndiye anauza wenzake.
Ila labda kutakua kuna uwepesi wa kugundulika huko Iran.
Hivi tofauti ya shia na Sunni ni nn? Mimi najua wote magaidi tu au?Hawa Waislam ndiyo wanafanya hii vita iendelee, ona sasa wanavyojishitaki wenyewe kwa haya maandiko ya Quran. Ndiyo hivyo hivyo wanawatoa kafara maskini wapalestina wa watu wakiwahadaa kuwa vita hiyo ni ya Allah, wao kufa ni dhwawabu kwa Allah, wataridhi mabikira 72 mbinguni. Kitabu chao kinawaelekeza kuwaua wayahudi na wakristo ili uislamu utawale Dunia. Sasa ngoja tuone mwisho wake. Na huyo Iran wanayemshabikia wajue ni Shia; kuna vita mtaipata kati yenu Sunni na Shia hamtakuwa salama
yaani wewe hujafikia level ya kubishana vifungu vya Bible na mimi, kwasababu hauijui, kwa kukusaidia, amini tu kwamba alifufuka ili tuokoe muda.Alifufuka ulimwona wapi ? Hao waliokuhadithia wote alipokamatwa walimkimbia. Soma Mark 14 :50
Hii habari imetolewa na Hamas na Iran wenyewe, the question hata wao hawajui ni how 😅 😅 😅
View: https://x.com/AvivaKlompas/status/1818491851223007234
Jamaa alikuwa ameleta dharau kwa Jehova
SWali kama hili huwaga nzuri kwa pande zote mbiliHuyo Yesu yuwapi awaokoe Ukraine wanaokufa!?
Huyo Yesu yuwapi awaokoe askari wa Israel wanaopata ulemavu na kufa kwa vita ya Gaza!?
Yesu ambaye alipigiliwa misumari ndio ajue ama aweze kuokoa!?