Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Hahaha Houthi nadhani wamestuka wakiendelea the next ni Viongozi wao.. wamepewa mwana ukome moja tu wameanguka chini chali
Hahaha Houthi nadhani wamestuka wakiendelea the next ni Viongozi wao.. wamepewa mwana ukome moja tu wameanguka chini chali

Hawa hawamuabudu mtu anayekunya , wanakula kifo ni hali ya kila kiumbe. Hasara ni kufa ikiwa unayemwabudu mungu anayekunya hapo utaenda motoni tu
 
Russia, North Korea, China, Cuba nk sina uhakika kama zilishawahi kuwa na mgogoro na Israeli kiasi cha kutarget viongozi wa Israeli.

Japo naamini Russia anaweza kuipeleka Vita Israeli na Israeli akasikia sasa yuko vitani, maana naamini Russia ana resources za kutosha na watu wakutosha wenye maarifa maana yake itambidi Israeli naye atumie resources za kutosha kumkabili adui kuliko ilivyo sasa na waarabu maana naamini Israeli anatumia resources chache sana kuwakabili.

Shida ya waarabu hawana technolojia na watu wenye akili zilizokomaa kwenye technolojia ya vita na vifaa vya kivita, vita ya sasa ni technolojia na watu wenye kuijua technolojia, kama huna hivyo vitu basi nikujisumbua sana kupigana na hizi superpower.
Russia na USA ndio nchi za Kwanza kuitambua Israel.

Israel ni moja watu wanaozungumza Lugha Kirussia kwa wingi nje ya nchi zilizokuwa Soviet Union.

Watu wasiojua Israel ni moja kati ya nchi 10 ambazo Watu Russia huamia kwa wingi, kwa maana nyingine Undugu wa Damu wa Russia na Israel ni mkubwa na muhimu kuliko wavaa Kobazi na Russia
 
Pole sana kwao Hezibola nilisikia ni hatari kuliko wa Hoasi sijui Oasi wale wateka Meli za Russia wanaitwaje?

Kufa ukipigania uhuru na demokrasia ni heri kuliko kufa kwa malaria.

Ndiyo maana kina Kinjekitile, Mkwawa, Ben, Azory, Lijenje na wa namna hiyo, leo ni mashujaa.

Ama kwa hakika ni heri kufa ukijaribu kusimama kwa miguu yako, kuliko kuishi ukiwa kwenye magoti.
 
Hamas wamefeli pakubwa mno, wameshindwaje kumlinda kiongozi wao Mkuu? Sasa kama kiongozi kauawa kuna nini tena? Warushe taulo basi.
Hamas hawajafeli chochote. Aliyefeli hapo ni Iran, huwa nawaambia mashabiki oyaoya Iran bado sana kwa Israel.

Sasa Haniyeh kauwawa akiwa nyumba za serikali za Iran na ulinzi mkubwa sana. Myahudi hakwepeki
 
Hamas bawajafeli chochote. Aliyefeli hapo ni Iran, huwa nawaambia mashabiki oyaoya Iran bado sana kwa Israel.

Sasa Haniyeh kauwawa akiwa nyumba za serikali za Iran na ulinzi mkubwa sana. Myahudi hakwepeki
Myahudi hakwepeki mbona waziri mkuu wao aliuliwa ndani ya Israel yule Rabbin
 
Muongo empty head wewe.
Mkataba wa amani ulikua ni wa camp David Na vita iliyosababisha kuwepo huo mkataba ni Yomkippur war ya 1973,vita ambayo Misri ilimpiga NA ILIMTWANGA Israel na Israel akakimbia Sinai akarudi nyuma na kubakia ni mita mraba chache sana kwaajili ya buffer zone.
Na wakati huo huo Syria ilishambulia kuikomboa Gollan lakini walifeli.
Na ule mkataba wa amani ulikua ni wa sababu zifuatazo;
1)Kuachiwa kwa mateka wa kiyahudi waliopatikanika Sinai ambao walikua jela za Misri.
2)Kurudisha sehemu ya Sinai iliyobaki.
3)Kuacha mashambulizi dhidi ya Syria.

Vita gani hiyo waarabu waliungana mataifa 6!?
Kama unazungumzia Six days war basi ile haikuwa na confrontation bali Israel ililipua Airbase ya Egypt pale Sinai na kuipora Sinai na Gollan heights.
Nenda kasome usitujazie ujinga humu.
Porojo kutoka masjid ubwabwa. Nchi yoyote ya kiarabu kama ingefaulu kuishinda Israel basi hilo taifa lisingekuwepo leo.

Hao waisrael wasikieni kwa mbali tu sio watu wa kawaida wale na waarabu wote wanafahamu hilo na ndio maana hawahangaiki nao tena.
 
Kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh ameuawa nchini Iran, kundi hilo limesema.

Katika taarifa iliyotolewa leo siku ya Jumatano, Hamas imesema Haniyeh aliuawa kufuatia uvamizi wa Israel kwenye makazi yake mjini Tehran.

Kwa mujibu wa kundi hilo, Haniyeh alifariki baada ya kushiriki sherehe za kuapishwa kwa Rais mpya wa Iran Masoud Pezeshkian aliyeapishwa siku ya Jumanne.

Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Irani lilisema chanzo cha "tukio" hakijafahamika mara moja lakini "kinachunguzwa", shirika la habari la AFP liliripoti.

View attachment 3057258

Usicheze na MOSSAD
Iran wanafeli wapi adui anaingia kwenye mipaka yao anafanya tukio atakavyo na kukamilisha bila kushtukiwa?
 
Kile kifo cha Rais wa Iran na aina ya Helicopter waliokuwa wanatumia na excuse za kwanini walikuwa wanatumia ile Helicopter ilitosha kabisa kuniambia Iran ni mwepesi mno.

Huwezi kutumia Helicopter aina ile halafu unaugomvi na USA na ISRAEL, maana mle kwenye helicopter Kuna electronics chips nyingi sana + control boxes ambazo mtu anaweza kufanya remote communication na kuchukua control.

Hili la Israeli kufanya mashambulio ya ndani ya Iran mara kwa mara limeonyesha pia how Iran is weak kwa sasa kuanzisha vita na adui alikuwa zaidi ya 1500km.

Iran anapaswa kubaki Low key, atafute technolojia na kutengeneza watu wenye akili na maarifa na sio kuendelea kutegemea wapiganaji mashujaa wanaoweza kutumia nguvu tu na sio akili, Dunia ya sasa inataka technolojia na watu wenye akili kila mahala kuanzia kwenye ujasusi na vita.
 
Hawa hawamuabudu mtu anayekunya , wanakula kifo ni hali ya kila kiumbe. Hasara ni kufa ikiwa unayemwabudu mungu anayekunya hapo utaenda motoni tu
Kitendo cha kujisaidia kina shida gani mzee??
 
Tayari sasa hivi anajivinjari na mabikra huko. Ni mwendo wa kudinya tu 😂

Kifo ni haki ya kila mtu. Hasara ni kufa ikiwa unamwudu mtu aliyekuwa akila na kunya Kama wewe hapo Itakuwa umejiingiza mwenyewe motoni. Tena huyo mtu hakuna mahali alikuambia popote kuwa yeye ni Mungu
 
Back
Top Bottom