Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Inasemekana Israel imetumia kombora kumuua. Ikitokea ni kweli basi hilo ni very advanced na dogo na lina mahesabu makali sana. Maana hilo eneo haijasikika mlipuko kabisa. Wakati Tehran iko zaidi ya 1,500km kutoka mpaka wa Israel na ni lazima uvuke anga la Iraq kuingia Iran kama unatokea Israel. Kombora lazima liwe kubwa kufika, ila likiwa kubwa linaacha alama za moshi karibu na impact site. Sasa immediately hawajaona moshi.

Hata hivyo sitarajii Iran kutoa taarifa kamili ilikuwaje maana wana aibu. Hamna cha Mossad wana mawakala, ni hivi Iran bado kuwa level za Israel kwenye ujasusi na mission ngumu.
Kwenye intelijensia iran wanatakiwa wajitathmini
Hii ni failure kubwa na haijaanza leo nahaitaisha leo
 
Bila kusahau Mandela alikuwa na maneno kama haya:

"Supporting Palestinians is a duty, whatever the sacrifices are."
Siwezi kusupport hiyo mipumbavu mie.

Yaani tuliisupport vizuri kabisa back then ila cha ajabu ikawa upande wa Idi Amin kwenye vita vya Kagera. Juzi hapa imeua vijana wa Kitanzania waliokuwa masomoni Israel.

Wapambane na hali yao wajinga wale.
 
Yaani kufunga Mwezi mzima kila mwaka, kupiga taji la kichwa kwenye sakafu Hadi kupata kovu (sijida)
Kusafiri Hadi Maka kumpiga Shetani mawe. Kutoa zaka, kuswali kutwa
mara 5 nk.
Taabu zote hizi sababu ya kuhangaikia Pombe na Wanawake....!, 🤔 tu.

Anyway kila mtu na mahitaji yake.
Wakristo tunamwunga mikono Israeli ni kwa ajiri ya Usalama wetu.
Uislamu ukishinda hivyo vijamaa vinavyojiita Boko-Haramu. Al-Nusra. Janjaweed. Al-Shabibi nk. Vitazaliana na kuongezeka kama nyumbu.
Na Tunaona jinsi vinavyo waua Wakristo wasio na hatia yoyote kwao.
Wakristo tunaiunga mikono Israeli kwa sababu hiyo.
Kulinda Usalama wetu na vizazi vyetu vijavyo.
 
Hamna mazungumzo yanahitajika zaidi ya mkono wa chuma.
Pole sana
Screenshot_20240509-124635.png
 
Bila kusahau Mandela alikuwa na maneno kama haya:

"Supporting Palestinians is a duty, whatever the sacrifices are."
Mandela mwenyewe kapewa uhuru bandia. Ardhi yote na mifumo yote ya uchumi anamiliki mzungu.
 
Hongera jeshi la kitaalam sana! Hapo ndiyo unaona tofauti kati ya magaidi/vibaka na wanajeshi! Waisrael wanasaka na kuua VIONGOZI WAKUU WA MAGAIDI nje ya mipaka yake, magaidi wao wanavizia vibibi vizee kuwabaka, kuwachinja, kuwalipua na kuwateka na kujificha nao ktk mahandaki waliyoyajenga chini ya hospitali na shule za chekechea.
 
Alikufa natural death, hakuuawa.
Nani kakudanganya? Hujui kwamba mwili wake ulifukuliwa na kufanyiwa postmortem na kugundulika kuwa na kemikali za sumu hata makazi yake na nguo zake kule west bank ziligundulika na hiyo sumu.
 
Yaani ndani ya Saa 12 tu Kudadadeki tumemmaliza Mpumbavu aliyeko Lebanon wa Hezbollah na yule wa Hamas aliyekuwa Iran. Halafu tulivyokuwa na Akili tumeuchuna / tumenyamaza kama vile siyo Sisi huku tukiwasikilizia tu Wapumbavu katika 'Saitimira' zetu ili wakileta tena Fyoko Fyoko tunaua tena Wengine. Watanyooka tu.
Mimi demu wangu FaizaFoxy namsisitiza njia pekee ni kusurender aje nimliwaze au afie kwenye handaki
 
Back
Top Bottom